FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Hiyo ni neema kwa viongoz wa sirikal kuwaongezea ulaji na sio wananch madin km dhahab tanzanit yabakaribia kuisha tangu yagunduliwe na kuanza kuchimbwa sabab kuna mianya mingi ya rushwa na viongozi kubebana kwa ufisadi hakuna jipya hap zaid kuleta shida kwa wananch
Unangoja Serikali ije kukupa madini? unanchekesha!
Soma: allAfrica.com: Tanzania: Small-Scale Miners to Benefit From Sh9 Billion Fund Before Year-End (Page 1 of 2)
Soma: Home