Nehemia Mchechu adai fidia Tsh. billioni 3 kwa kuchafuliwa na Gazeti la The Citizen

Nehemia Mchechu adai fidia Tsh. billioni 3 kwa kuchafuliwa na Gazeti la The Citizen

Tumbua, ondoa, fukuza, haya maneno kwa mtazamo wangu hutumika interchangeably, huyo Mchechu aache hasira, atulie alambe asali.
 
Msiwe na roho mbaya kama ya Magufuli.
Tafuteni mafanikio yenu badala ya kupiga domo na kuutukuza umasikini wenu, mkifikiri umasikini ndio uadilifu.
Hii pointi kubwa kabisa. Tutafute mshiko, badala ya kujenga chuki kwa waliofanikiwa. Hufnikiwi kwa kumchukia alieyenacho, ila unafanikiwa kwa kuiga mafanikio na hustle za walionacho.
 
Kwaio baada ya kumtoa Mchechu akamuweka ndugu yake yupi ktk io nafasi ya DG wa NHC?
Km humfahamu Mchechu bora ukae kimya sio kutafta sababu za kijinga kumsafisha.
Una muimplicate vp Mchechu bila kuwaimplicate na vigogo wengine?
ktk vitu JPM aliniangusha ni ile kufanya uchunguzi akikuta issue ina baraka ya msoga anaiacha njiani kumlindia heshima.
Wewe una ubongo wa mende!! Heshima gani yule Pimbi wa Chato aliyomlindia JK? Wakati kutwa alikuwa anamponda kuwa hakufanya lolote ila yeye ndiyo anafanya.

Hata wewe humfahamu MCHECHU, umeanza kumsikia tu baada ya kumuona NHC
 
Jamaa (Nehemia) japo anatupiwa makombora, lakini aliipaisha sana CBA akiwa MD & CEO pale.

Huku NHC alijitahidi japo bado makando kando yalikuwepo, kwa kuwa jiwe alikuwa hapendi/ hataki ushahidi akaamua kumtengua.

He was an insipirational and transformational business leader.
 
Atulie apige kazi, zile nyumba alizojenga maporini na kiwanja m100 sisi siyo wajinga.
 
Tusichukulie kirahisi kuwa MCHECHU ni fisadi kwa vile uteuzi wake ulitenguliwa na Magufuli.

Nakuhakikishia kuwa The Citizen wataomba radhi mapema sana kumsafisha Nehemia MCHECHU. Kw sababu kutenguliwa siyo kufukuzwa. Magufuli alikuwa anawatoa kazini watu anaowashuku kuwa ni mafisadi na kuwaweka ndugu zake kwenye nafasi zile.

Isitoshe MCHECHU hakufunguliwa mashtaka yeyote hadi yule hayawani wa Chato anakufa.

Tuache kuwachukia watu kwa vile wana fedha kutuzidi.
Nadhani hata mimba zipo zinazopatikana kifisadi.
Na uzao wake huwa kama huu wako mwandishi unayetapika uharo huu.
 
Atulie nae mnk Ni fisad na ustake kujifanyisha kuwa Ni mwema
 
Tusichukulie kirahisi kuwa MCHECHU ni fisadi kwa vile uteuzi wake ulitenguliwa na Magufuli.

Nakuhakikishia kuwa The Citizen wataomba radhi mapema sana kumsafisha Nehemia MCHECHU. Kw sababu kutenguliwa siyo kufukuzwa. Magufuli alikuwa anawatoa kazini watu anaowashuku kuwa ni mafisadi na kuwaweka ndugu zake kwenye nafasi zile.

Isitoshe MCHECHU hakufunguliwa mashtaka yoyote.

Tuache kuwachukia watu kwa vile wana fedha kutuzidi.

Kuomba radhi kwa gazeti Tanzania kunategemea na power that be iliyopo na haimaanishi kwamba walichoandika hakikuwa sahihi, unafikiri Nape kama Waziri akiwafwata hilo gazeti na kuwalazimisha waombe hiyo radhi watakataa ?
 
Back
Top Bottom