Nehemia Mchechu adai fidia Tsh. billioni 3 kwa kuchafuliwa na Gazeti la The Citizen

Sasa,kwanini kimya siku zote hizo tangu 2018? Na yeye alikuwa anapona kwanza sonona kama yule mtalii wa kinaijeria kule Zanzibar?
 
Magufuli mshamba kwa kuwa ni msukuma ila nikujuze tu! Maisha ya familia wake wewe na kima wenzako kwenye uko wenu hamfikii hata 1ya 10,Unachuki zako za kijinga tu!
 
Magufuli mshamba kwa kuwa ni msukuma ila nikujuze tu! Maisha ya familia wake wewe na kima wenzako kwenye uko wenu hamfikii hata 1ya 10,Unachuki zako za kijinga tu!
Mbona amekufa kizembe sasa kama hatumfikii anatuzidi nini?? Nyie sambulugu ndiyo misukule wake mliobakia mnahangaika baada ya aliyekuwa anawalisha unga kufa. Na mtakoma
 
Huyu naye amerudi kwa mbewembwe sana, ila ni mtafuna nchi tu.
 
Alikuwa wapi?muda wote huo?kwanini hakufungua kesi kipindi Cha jiwe?(ingawa simpangii)kwanini sàsa? Siulizi MTU nawaza tu
 
Sawa bwana mchechu nehemia
Nimekuelewa
 
Mmmh lini kahamia KKKT mbona alikuwa anasali katoliki parokia ya Thomas More pale Mbezi Beach

Sent from my INE-LX2 using JamiiForums mobile app
 
Wewe lijinga likubwa hujui kwamba siku ya kwanza Magufuli kuteuliwa Naibu Waziri kwa roho yake mbaya alimtimua injinia pale wizara ya ujenzi, aliye kuwa naye Chuo Kikuu.

Roho mbaya ya huyo jamaa ni ya asili ya kwenu huko uhutuni.
Nimeshangaa post ya huyo jamaa, roho mbaya ya Magu inajulikana tokea kitambo kabla hajawa nyapara wa Tz.
Kwanza kuwa anachongea sana watu kwa Mkapa enzi zile wengi walishambaini roho yake ya husda, sasa alipokalia usukani ndiyo akawa amepata fursa ya kurarua watu makucha atakavyo.
 
Well done Mchechu.
 
Njoo usome uchuro wako hapa. Mahakama imetoa mwanga kuwa Mchechu siyo fisadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…