Yaan nimechekaa mpaka jino la mwishoo diamond ndivyo alivyosemaa auy kuwa alishobokewaa auu?? Hapo lazima karuichi agombane na Wema najua lazima mtoto wa Tandalee atupie ndoanoo
Jamani mie huku hoi kabisa.
Khaaaaa ni nini hiki sasa.
Unajua nimesoma hii habari kwa ufasaha mara kumi kumi nimekuja kugundua Davido ----- tu kwa Diamond ndo maana hao masupastaa wanamshobokea Diamond badala ya Davido.Akili kumkichwa binamu.
Publicity ya Diamond nimeikubali Binamu.
Una uhakika gani kama walimshobokea? , maana Tz nzima tunamjua ndomo kwa kushoboka na mastaa wa nje, hadi nakumbuka kwenye harusi ya p square alijialika mwenyew had psquare wakamuumbua so ndomo tunamjua shobo ni kawaida yake
acheni kudanganya watu alikaribishwa kama wageni wengine tu karuuche alikua anawahoji watu kwenye red carpet sasa ulitaka asitabasmu
kipindi cha kura za mama south africa mlikua mnasema diamond akimbiza kura za mama na porojo kibao diamond ni msanii wa kawaida sema ana michezo ya kihuni kudanganya watu
Mpaka kushobokewa na akina nelly na chriss brown unadhan mchezo? Naona ndomo kashapata kaka na shemej maana alimuita kerrueche shemeji sasa uo ukaka na chris brown umetokea wapi, ngozi nyeusi ndo maana tunadharaulika maisha shobo too much
Binamu haujaninyaka nini hapo namaanisha akili za kuambiwa changanya na zako.
Na wewe unaamini kabisa akina nelly wamemuomba ndomo kufanya nae collabo? Kweli watanzania tumerogwa
we jamaa hujielewi kabisa, hiyo habari umetunga wewe kama mission ya kuendeleza dis na chuki zenu dhidi ya Diamond, nani aisyekujua hapa jukwaani kama we ni hater wa Diamond? Kwa taarifa yako Diamond hakuingia hata mule ndani alipopewa tuzo Davido kwani alichelewa njiani na akakuta kila kitu kimeshakamlika japo nje alifanikiwa kweli kupiga picha na wakina Nelly,
Lakini hapa umekuja kupotosha kwa makusuid na adhabu ya ni ban kutoka mods.
Cc: Invisible Paw JamiiForums

hadithi kaitoa global publishers
hadithi kaitoa global publishers
imejaa kwenye blogs. Tufike mahala hizi blog ziwe na usajili maalum. TCRA wher r they
inaboa sana kila blogs same stories ... upo rafiki yangu
inaboa sana kila blogs same stories ... upo rafiki yangu
hadithi kaitoa global publishers