warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
- Thread starter
- #41
Yaan nimechekaa mpaka jino la mwishoo diamond ndivyo alivyosemaa auy kuwa alishobokewaa auu?? Hapo lazima karuichi agombane na Wema najua lazima mtoto wa Tandalee atupie ndoanoo
Binamu sijawahi kucheka kama siku ya leo, nimecheka hadi nime harisha, sasa najiuliza hayo maneno kasema nani? Ndomo au global? Au akina nelly walimpigia simu global kumwambia? Angetuonyesha basi hata clip jinsi wanavyomuomba namba na collabo