DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,983
- 11,857
Kwani vipi kuhusu Bigirimana????yeye alikinukisha wapi mpaka mkamsajili?Kisa tu eti alionekana kukinukisha kwenye mechi 2 alizocheza dhidi ya Yanga alipokuwa Rivers United! Wazee wa kukurupuka wakampa mkataba!! Huku wakimpamba kwa kila aina ya mapambio.
Ngoja tuone mwisho wa hili sekeseke! Milioni 800 usawa huu, si mchezo.
Kambole je???????maana haya yote ni magarasa,list ni ndefu kuna kina kalengo,yipke,moringa,kindoki n.k
Lielewe soka ndio ulizungumzie ,katika suala la usajili wa wachezaji kuna mengi,sio kila anayeflop hajui na kupeleka lawama kwa wanaosajili
Kuna mchezaji kuzoea mazingira,kuna suala la tabia,kuna suala la mifumo vyote hivi vinaaffect viwango vya wachezaji hasa newcomers......