Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Mkuu samahani kwa kauli hii, ningependa kujua elimu yako ni kiwango gani?Hekima haifundishwi popote duniani! Kazi ya msingi ya chuo kikuu chochote ni kufundisha, tafiti, na ushauri. Nani duniani humu amewahi kufikia "Hekima ya Sulemani"? Alisomea chuo kikuu kipi kuipata hekima ile? UDSM ijikite kwenye majukumu yake ya msingi badala ya kuambatana na siasa uchwara!
Kama umefikia elimu ya shahada ya kwanza kuna kitu hakiko sawa ktk mfumo wako wa kujifunza ukiwa shuleni na vyuoni.
The wisdom in philosophy
From the Latin sapientia, it relates to intelligence, in the opinion, common sense, prudence, knowledge, science, philosophy. Wisdom is commonly used to describe the character of that which is reasonable, or to exercise moderation in desires.
Source: What is Wisdom ? Philosophical Definition
Ukisoma hapo kwenye nini maana ya wisdom(hekima) utaona inahusiana na vitu vingi ikiwemo na knowledge, science na phylosophy.
Je elimu ya chuo kikuu lengo lake sio kukupatia knowledge?
Je kazi ya chuo kikuu sio kukupa mbinu za kisayansi na kutambua asili ya vitu kisayansi?
Au kutafuta majibu ya vitu mbalimbali au changamoto mabalimbali zinazo ikabili jamii au dunia kwa njia za kisayansi kupitia hizo tafiti (research) unazo sema?
Go back to the college mkuu wangu.