Nembo ya "Kenya Bureau of Halal Certification" ina maana gani katika bidhaa ya kitanzania? Nchi yetu haina hiyo Taasisi?

Nembo ya "Kenya Bureau of Halal Certification" ina maana gani katika bidhaa ya kitanzania? Nchi yetu haina hiyo Taasisi?

Ulaya mbali... Hapo tu South Africa, bidhaa tele zipo na hiyo logo
Huu ni uongo dhahiri naona umejifungia ndani tu na hujatoka nje
Hata Ulaya wanatumia hizo nembo kwenye bidhaa nyingi sana na mpaka makampuni ninayosambaza chakula airports wanaweka halal products pekee
Pia allergens products zinawekewa alama pia
Supermarkets zote zina sehemu za halal siku hizi kama hujui
Au unataka na picha


Sent from my iPhone using Tapatalk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni uongo dhahiri naona umejifungia ndani tu na hujatoka nje
Hata Ulaya wanatumia hizo nembo kwenye bidhaa nyingi sana na mpaka makampuni ninayosambaza chakula airports wanaweka halal products pekee
Pia allergens products zinawekewa alama pia
Supermarkets zote zina sehemu za halal siku hizi kama hujui
Au unataka na picha


Sent from my iPhone using Tapatalk
Bei ya halal Certification walahi Allah anatunyonya haswa!
 
Vipi Kama sisi makatekishta tukiamua ku boycott any product attached with religious things of our opposite side of faith.

Je, mtakunywa wenyewe [emoji2]

Religious extremists Wana tabu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu kila mtu ana imani yake na hili halihusiani na ubaguzi bali ni kutenganisha unavyopenda na usivyopenda.

Kwa mfano sisi hatukazii sana allergens na watu hudhurika sana bila kujua amekula nini kikamdhuru.

Wenzetu kila kitu ambacho kinaonekana kina madhara kwa mwingine ni lazima kiainishwe na kuandika kwenye products.

Kwa mfano nyama, nuts [emoji1645] aina zote na hata baadhi ya mafuta

Kwa hiyo kama bidhaa imeandikwa halal na wewe hutaki halali unaacha Mkuu sio lazima
Twende kwa hoja



Sent from my iPhone using Tapatalk
 
We unahisi anawalipaje mabikra huko juu pesa za mafuta na nywele??
Tatizo lako ni la kimalezi,unaonekana umelelewa kwenye malezi ya hovyo sana na una msongo wa mawazo Depression,
Umeamua kuitumia jf kuja kujifariji tu huku,ila kumbuka kua matatizo yako yapo palepale,

Vicomment vyako vingi humu jf ni vya hovyo hovyo tu,huna mchango wowote wa maana humu jf zaidi ya hivyo vikashfa vyako vya watoto wa chekechea,

Toka usingizini umri haumsubiri mtu,fainali uzeeni,
Utajifariji humu na baadhi ya wapuuzi wenzio ila kumbuka kua ipo siku utapaki wewe peke yako na hapo ndipo majuto mjukuu yatakapo kuandama.
 
Halaal Certificate Ni Mtaji wa Heoa za Kufadhili Ugaidi.. hauna maana yeyote Ile kwa Secular States.
images%20(9).jpeg

Kwahiyo South Africa nae anafadhili Ugaidi sio?

ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ [emoji377]
 
Hako katoto kamelelewa malezi ya hovyo sana mkuu,ila mpaka leo kameshindwa japo kujiongeza hata kidogo tu! hicho kitoto ni chakuonewa huruma tu na kusikitikiwa.

Mimi naamini ana msongo wa mawazo sana baada ya mama kuachika
Sio wa kumhurumia bali anahitaji psychologist amtibu yeye na mama yake


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom