Chai Nyeusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2021
- 347
- 312
Smart Boy wa humu JF ni mimi peke yanguSidhani kama upo sahihi smart boy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Smart Boy wa humu JF ni mimi peke yanguSidhani kama upo sahihi smart boy
Wewe k.i.l.a.z.a una usmart gani teh teh tehSmart Boy wa humu JF ni mimi peke yangu
KItu Gani nikitoa Bongo kuleta ulaya hasa upande wa fruits nitatoka na faida nzuriHuu ni uongo dhahiri naona umejifungia ndani tu na hujatoka nje
Hata Ulaya wanatumia hizo nembo kwenye bidhaa nyingi sana na mpaka makampuni ninayosambaza chakula airports wanaweka halal products pekee
Pia allergens products zinawekewa alama pia
Supermarkets zote zina sehemu za halal siku hizi kama hujui
Au unataka na picha
Sent from my iPhone using Tapatalk
KItu Gani nikitoa Bongo kuleta ulaya hasa upande wa fruits nitatoka na faida nzuri
Asante kwa elimu nzuri kakaKila matunda yana faida nzuri ni wewe na uwezo wako wa utumaji kama unaweza
Documents zote kama unazo ndio la kwanza
Na kupata mnunuzi huku baada ya kuongea nae na kumpa bei zako
Kama ni matunda wanunuzi wa kwenye markets kubwa za huku wanahitaji matunda na mbogamboga kila siku
Ila wanakupa siku tatu ya wewe kujiandaa na kutuma na kiwango na pia ziwe hazijaiva kabisa ili zikifika hata zikikaa siku nne zisiharibike
Na ukituma ambazo zimeiva imekula kwako wanazimwaga na hela hupati
Inabidi ujiandae na pia ukajifunze kwa watumaji waliobobea kwenye kazi hii hata kama itakugharimu uende UG au Kenya ili upate ujuzi
Huku matunda na mbogamboga zinaletwa kutoka nchi nyingi sana ila kwetu ni Kenya na Uganda
Sisi bongo wenye roho mbaya wote wapo serikalini maana kupata vibali vyote ni kazi labda ujaribu kwanza huko
Sina uhakika mkuuBongo ipo halal bureau?
Tuko pamojaAsante kwa elimu nzuri kaka
OkayTuko pamoja
Kama unataka kutuma bora utafute bidhaa kavu kama Korosho, karanga na hata spices maana soko hili pia ni la uhakika na guarantee hela unapata
Nilimuuliza jamaa kama anataka Korosho akasema kama ntamletea zile za size ya standard anahitaji 20 ton ila unaweza kuchanganya broken na whole ambazo ni mbichi
Sijapata mdhamini bado ila nasubiri sample nzuri