Huu ni uongo dhahiri naona umejifungia ndani tu na hujatoka nje
Hata Ulaya wanatumia hizo nembo kwenye bidhaa nyingi sana na mpaka makampuni ninayosambaza chakula airports wanaweka halal products pekee
Pia allergens products zinawekewa alama pia
Supermarkets zote zina sehemu za halal siku hizi kama hujui
Au unataka na picha
Sent from my iPhone using Tapatalk
Vipi Kama sisi makatekishta tukiamua ku boycott any product attached with religious things of our opposite side of faith.
Je, mtakunywa wenyewe [emoji2]
Religious extremists Wana tabu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei ya halal Certification walahi Allah anatunyonya haswa!Huu ni uongo dhahiri naona umejifungia ndani tu na hujatoka nje
Hata Ulaya wanatumia hizo nembo kwenye bidhaa nyingi sana na mpaka makampuni ninayosambaza chakula airports wanaweka halal products pekee
Pia allergens products zinawekewa alama pia
Supermarkets zote zina sehemu za halal siku hizi kama hujui
Au unataka na picha
Sent from my iPhone using Tapatalk
We unahisi anawalipaje mabikra huko juu pesa za mafuta na nywele??Bei ya halal Certification walahi Allah anatunyonya haswa!
Ulaya mbali... Hapo tu South Africa, bidhaa tele zipo na hiyo logo
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei ya halal Certification walahi Allah anatunyonya haswa!
We unahisi anawalipaje mabikra huko juu pesa za mafuta na nywele??
Vipi Kama sisi makatekishta tukiamua ku boycott any product attached with religious things of our opposite side of faith.
Je, mtakunywa wenyewe [emoji2]
Religious extremists Wana tabu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lako ni la kimalezi,unaonekana umelelewa kwenye malezi ya hovyo sana na una msongo wa mawazo Depression,We unahisi anawalipaje mabikra huko juu pesa za mafuta na nywele??
Hako katoto kamelelewa malezi ya hovyo sana mkuu,ila mpaka leo kameshindwa japo kujiongeza hata kidogo tu! hicho kitoto ni chakuonewa huruma tu na kusikitikiwa.Tatizo wazazi wako sio wewe
Sent from my iPhone using Tapatalk
Halaal Certificate Ni Mtaji wa Heoa za Kufadhili Ugaidi.. hauna maana yeyote Ile kwa Secular States.
Hako katoto kamelelewa malezi ya hovyo sana mkuu,ila mpaka leo kameshindwa japo kujiongeza hata kidogo tu! hicho kitoto ni chakuonewa huruma tu na kusikitikiwa.
Serikali haina dini.Kwanini hakuna?
Hiyo si ya Nchi Ni ya Wasilamu.
"Halal bureau of Tanzania" ?? Umeitoa wapi hiyo, na ofisi zake ziko wapi ili nifike hapoKaka, kwani Halal Bureau of Tanzania ikifanya certification haitoshi? Mbona hakuna Logo za Bureau za Rwanda pamoja na Burundi na bado bidhaa zinakuwa exported huko?
Nchi tofauti,malengo tofauti,sheria tofautiKaka, kwani Hala Bureau ya Kenya pamoja na Halal Bureau ya Tanzania wanatumia sheria tofauti?