Nembo ya Simba imebadilishwa na nani?

Pengine imebadilishwa na TANAPA ikishirikiana na wajumbe simba kutoka mbuga zote
 
Logo ya Simba imebadilishwa na kuidhinishwa kutumika.

Swali langu ni je, taratibu za kuibadili na kuitumia nembo mpya ya Simba zimefuatwa?
Kwani logo ndo inacheza uwanjani, achani upumbavu.
Afu mijitu mingine ukute hata kadi haini kazi kuropoka tu ka manyani au mambwa.
 
Kwani logo ndo inacheza uwanjani, achani upumbavu.
Afu mijitu mingine ukute hata kadi haini kazi kuropoka tu ka manyani au mambwa.
Ukitaka uwe huru Ivo anzisha timu yako, kwanini mnang'ang'ania hii?

Simba na Yanga hakuna ufundi Wala haraka, mambo yake huku Ni shirikishi, Ni polepole bila papara. Wewe ndo huoni mbele, ukisharuhusu mambo hayo madogo iko siku utayashangaa makubwa.
 
Ww una tabia kama za Lisu. Inawezekana una undugu na lisu au mnatoka kijiji kimoja au pengine mlisoma darasa moja mwalimu wenu mmoja.

Sent from my LG-K520 using JamiiForums mobile app
Hahaha, Kaka iko siku nembo ya Simba tutaikuta Ina picha ya gauni la mke wa mtu lenye picha picha za mikia ya simba.

Nembo yetu sisi Ina Simba mzima mwenye afya Bora. Hiki kichwa kwenye nembo ya sasa hakionyeshi kama huyu Simba analia kwa maumivu au ananguruma kishujaa, kapigwa mkuki, amekanyagwa na nyati au analia nini, maana kiwiliwili hakipo. Kinachoonekana Ni amefungua mdomo tu, haieleweki kwakweli. Hata TANAPA hawakubali nembo ya hivi itumike kutangaza utalii kwenye mbuga zao.
 
Logo ya Simba imebadilishwa na kuidhinishwa kutumika.

Swali langu ni je, taratibu za kuibadili na kuitumia nembo mpya ya Simba zimefuatwa?
Simba ni mali ya mtu. Ni bidhaa kama bidhaa nyingine sokoni.
Mwenye mali yake kaamua kubadilisha nembo kama anavyobadili nembo za bidhaa zake za maji, sabuni nk.
 
Simba ni mali ya mtu. Ni bidhaa kama bidhaa nyingine sokoni.
Mwenye mali yake kaamua kubadilisha nembo kama anavyobadili nembo za bidhaa zake za maji, sabuni nk.
Akija mwekezaji mwingine naye ruksa?
 
Simba sio conservative kama Yanga, kwamba kubadili nembo iwe big deal. Yanga hata rangi nyekundu kwenye nembo za wadhamini wao hawaitaki ati !

 
Watu washapiga mamilioni yao kwenye kubadilisha nembo

Nembo yenyewe wameichukua google tu na kuongezea jina lao simba sports club. Na hapo Mo wamempiga hela ya nembo kina manara kumbe wame download google tu..
 

Attachments

  • IMG-20200814-WA0006.jpg
    28.7 KB · Views: 1
Kwa akili yako unaona zinafanana?

Tazama picha kwa umakini.. logo wameichukua google kisha wakaigeuza kutoka kuangalia kushoto na kwenda kuangalia kulia.. hiyo kitu hata kwa simu yako unaweza kufanya kwa app za picha.. kisha wakaweka neno simba sports club na rangi nyekundu tu.. badala ya blue ile ya picha halisi google.

Na hapo mo amepigwa mahela ya ku design na kina manara huku wamedownload google na kumgeuza simba tu upande mwingine na kumpachika
 

Attachments

  • 20200820_104525.jpg
    28.2 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…