Kama kuna kaukweli kanakujakuja hivi.
ila hapana bwana kunawataalam walikaa wakatafiti.
Mo wamempiga hela ..
Tazama picha kwa umakini.. logo wameichukua google kisha wakaigeuza kutoka kuangalia kushoto na kwenda kuangalia kulia.. hiyo kitu hata kwa simu yako unaweza kufanya kwa app za picha.. kisha wakaweka neno simba sports club na rangi nyekundu tu.. badala ya blue ile ya picha halisi google.