Nembo ya Simba imebadilishwa na nani?

Nembo ya Simba imebadilishwa na nani?

Kama kuna kaukweli kanakujakuja hivi.
ila hapana bwana kunawataalam walikaa wakatafiti.

Mo wamempiga hela ..

Tazama picha kwa umakini.. logo wameichukua google kisha wakaigeuza kutoka kuangalia kushoto na kwenda kuangalia kulia.. hiyo kitu hata kwa simu yako unaweza kufanya kwa app za picha.. kisha wakaweka neno simba sports club na rangi nyekundu tu.. badala ya blue ile ya picha halisi google.
 
Attachments

  • 20200820_104525.jpg
    20200820_104525.jpg
    28.2 KB · Views: 2
Mo wamempiga hela ..

Tazama picha kwa umakini.. logo wameichukua google kisha wakaigeuza kutoka kuangalia kushoto na kwenda kuangalia kulia.. hiyo kitu hata kwa simu yako unaweza kufanya kwa app za picha.. kisha wakaweka neno simba sports club na rangi nyekundu tu.. badala ya blue ile ya picha halisi google.
Hata kama Mo amepigwa we inakuuma nini nyie ndio mnaopenda wenzenu wabaki masikini hata wakipata dili kwa matajili mnaanza chokochoko
 
Kwa timu kubwa kama simba wanaweza wakashtakiwa na mchoraji wa logo akigundua.. maana logo za google nyingi zimechorwa majuu.. huko wana mambo ya hatimiliki sana.. simba ni taasisi inahitaji umakini kwenye mambo yake.. sio kulipua lipua mambo
 
Sawa ila kikubwa huwezi fanya jambo jipya la kipekeyako lisifanane na mwengine kwa karne hii ya 21.
Embu nambie na nyinyi utopolo mtabadili lini Logo yenu?
kwenye logo yenu kuna wakinadada wancheza rede,kuna masumbwi,kuna nyota shehe Yahaya za unajimu,mwenge wa tanu.
unnamed.jpg
 
Logo ya Simba imebadilishwa na kuidhinishwa kutumika.

Swali langu ni je, taratibu za kuibadili na kuitumia nembo mpya ya Simba zimefuatwa?
Board ya wakurugenzi. Achana na Utopolo mpaka wanachama wakae kupitisha
 
Sawa ila kikubwa huwezi fanya jambo jipya la kipekeyako lisifanane na mwengine kwa karne hii ya 21.
Embu nambie na nyinyi utopolo mtabadili lini Logo yenu?
kwenye logo yenu kuna wakinadada wancheza rede,kuna masumbwi,kuna nyota shehe Yahaya za unajimu,mwenge wa tanu.View attachment 1542812

Yanga ni sports club... sio football peke yake... hao wadada wanawakilisha timu ya netball.. hao masumbwi wanawakilisha mabondia.. na mwenge huo unawakilisha yanga ilitumika kupigania uhuru bila ya wakoloni kugundua.. vikao vilikuwa vinafanyika yanga jioni.. wakoloni wanajua watu wapo wanaongelea mpira.. ndio maana kina keneth kaunda walikuwa wanachama wa yanga..

Sisi tunaheshimu ancestors wetu yanga.. logo itabaki hiyo hiyo miaka yote
 
Kwasasa hakuna wa ku mkemea MO pale mbumbumbu fc, MO anafanya anayotaka ukichukulia anaidai klabu sasa watamfanya nini?
Ko ulitaka tumkee we ufurahi, Mwanaume unakua mbea ka mtoto wa kike, acheni kuropoka ka manyani
 
Nembo yenyewe wameichukua google tu na kuongezea jina lao simba sports club. Na hapo Mo wamempiga hela ya nembo kina manara kumbe wame download google tu..
Hahahaha wakiendelea kumsikiliza manara watapotea
 
Yanga ni sports club... sio football peke yake... hao wadada wanawakilisha timu ya netball.. hao masumbwi wanawakilisha mabondia.. na mwenge huo unawakilisha yanga ilitumika kupigania uhuru bila ya wakoloni kugundua.. vikao vilikuwa vinafanyika yanga jioni.. wakoloni wanajua watu wapo wanaongelea mpira.. ndio maana kina keneth kaunda walikuwa wanachama wa yanga..

Sisi tunaheshimu ancestors wetu yanga.. logo itabaki hiyo hiyo miaka yote
Tatizo utopolo mnafanya mambo kwa blabla nyingi.
Embu nambie timu ya rede ya wakinadada ya utopolo inaitwaje,na timu ya masumbwi je.
Sio vibaya kubadili mambo ili kwenda na wakati uliopo.Logo ya manyani fc imekaa kishamba sana.
 
Hata kama Mo amepigwa we inakuuma nini nyie ndio mnaopenda wenzenu wabaki masikini hata wakipata dili kwa matajili mnaanza chokochoko
Mo Ni mtu Safi Sana, ameamua kugharamia starehe yetu ya mpira, kwanini tusimhurumie anapopigwa kizembe, kwanini wahuni wampige hivi kwa copy and paste za watu wengine?
 
Akiwa kwenye mali hakuna wa kumzuia.
Nembo Ni icon ya timu, inabeba historia ya club, kuibadili lazima kuwe na sababu za msingi ambazo Ni obvious kwa wadau wote, sio mtu anakwenda kukopi mtandaoni nembo ya mtu na kuja kubadilisha historia ya timu. Wewe Ni Nani hadi uyafanye hayo? Au unatafuta kuweka historia kuwa ulibadikisha nembo ya Simba? Kwani nembo ndo inayocheza? ikibaki inazuia nn?
 
Aulizwe Mo hayo maswali. Maana kasema Simba aliyekuwepo kazeeka
 
Unajua logo ya Simba imebadilishwa Mara ngapi?

Haya nenda polisi sasa!
Nembo ibadilishwe au ifanyweje..., sisi hatuna time na hayo kikubwa burudani, utopolo kama nyie mkija mnakula miguu ya meza!
 
Nembo ya simba hiyo hapo nimeitoa google image adobe stock.

Mkiambiwa ukweli mikia mnakasirika.. mtakuja kufungwa kwa kuiba iba logo za watu google
Alhamdulilah, hii Ni haibu, maana hii Ni copy and paste, neno, macho, visikio, pua na hata manyoa na macho. Kwani mchoraji/aliyekopi kapewa Bei gani?. Tuingize hii logo kwenye turntin ili tuone kiwango Cha plagiarism kilivyofanyika.
 
Kwa timu kubwa kama simba wanaweza wakashtakiwa na mchoraji wa logo akigundua.. maana logo za google nyingi zimechorwa majuu.. huko wana mambo ya hatimiliki sana.. simba ni taasisi inahitaji umakini kwenye mambo yake.. sio kulipua lipua mambo
Lazima waingie makubaliano na mmiliki halisi wa mchoro au wamtambue (acknowledge) author kwenye nembo
 
Logo ya Simba imebadilishwa na kuidhinishwa kutumika.

Swali langu ni je, taratibu za kuibadili na kuitumia nembo mpya ya Simba zimefuatwa?
Chief ile ni taasisi /ofisi kuna watu wanafanya kazi pale posta wanaingia asubuh nq kitoka jioni... Sio kijiwe tena hope utaratibu umefuatwa
 
Tuombe Mungu iwe hivyo. Mimi nilitaka tu kufahamu Ni kwa namna gani nembo ya club kubwa Kama ile inaweza kubadilisha, process. Na je, hiyo process ikifuatiwa au Ni mtu kalala na kusema hii logo siitaki bila kuwaeleza wenye timu Ni sababu hipi zinazomkera kwenye nembo. Na je tenda ya kutengeneza nembo ilikuwa imetolewa kwa utaratibu unaofahamika.
 
Back
Top Bottom