EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Pengine imebadilishwa na TANAPA ikishirikiana na wajumbe simba kutoka mbuga zote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani logo ndo inacheza uwanjani, achani upumbavu.Logo ya Simba imebadilishwa na kuidhinishwa kutumika.
Swali langu ni je, taratibu za kuibadili na kuitumia nembo mpya ya Simba zimefuatwa?
Acha kumfananisha Raisi ajeye na mjinga huyo. Lijitu linaropoka tu lisivyojua,Ww una tabia kama za Lisu. Inawezekana una undugu na lisu au mnatoka kijiji kimoja au pengine mlisoma darasa moja mwalimu wenu mmoja.
Sent from my LG-K520 using JamiiForums mobile app
Ukitaka uwe huru Ivo anzisha timu yako, kwanini mnang'ang'ania hii?Kwani logo ndo inacheza uwanjani, achani upumbavu.
Afu mijitu mingine ukute hata kadi haini kazi kuropoka tu ka manyani au mambwa.
Hahaha, Kaka iko siku nembo ya Simba tutaikuta Ina picha ya gauni la mke wa mtu lenye picha picha za mikia ya simba.Ww una tabia kama za Lisu. Inawezekana una undugu na lisu au mnatoka kijiji kimoja au pengine mlisoma darasa moja mwalimu wenu mmoja.
Sent from my LG-K520 using JamiiForums mobile app
Simba ni mali ya mtu. Ni bidhaa kama bidhaa nyingine sokoni.Logo ya Simba imebadilishwa na kuidhinishwa kutumika.
Swali langu ni je, taratibu za kuibadili na kuitumia nembo mpya ya Simba zimefuatwa?
Simba sio conservative kama Yanga, kwamba kubadili nembo iwe big deal. Yanga hata rangi nyekundu kwenye nembo za wadhamini wao hawaitaki ati !Walioibuni nembo ile ya Simba walikuwa watu na wazee wenye akili zao, na walihusisha watu wengi sana na pengine hata kamati za ufundi. Bila shaka unapotaka kuibadili lazima kuwepo na sababu maalumu shirikishi za kuibadili pia. Je, kanuni na taratibu za Simba zinasermaje kuhusu kubadili nembo au katiba ya club?
Yanga mnamaneno[emoji23]
Manyani mnateseeeeka!!!!Wameichukua tu Google wakaipachika neno simba sports club
Ukiona hivyo ujue haikuhusuHata wao Man City bila shaka waliibadili ya kwao kwa mujibu wa katiba na kanuni za club yao. Nauliza kuhusu taratibu za Simba sio Man City
Luc alivyowaita manyani hakukosea hata kidogoKwani logo ndo inacheza uwanjani, achani upumbavu.
Afu mijitu mingine ukute hata kadi haini kazi kuropoka tu ka manyani au mambwa.
Manyani mnateseeeeka!!!!View attachment 1542763View attachment 1542764
Sasa shida iko wapi? Malizeni usajili muingie kambini wacheni udaku,mnachoweza ni kubong'oa tu.Ona mwenyewe kama naongopa.. haijachukuliwa mtandaoni na kupachikwa neno simba sports club
Watu washapiga mamilioni yao kwenye kubadilisha nembo
Kwa akili yako unaona zinafanana?Ona mwenyewe kama naongopa.. haijachukuliwa mtandaoni na kupachikwa neno simba sports club
Kwa akili yako unaona zinafanana?
Kama kuna kaukweli kanakujakuja hivi.Ona mwenyewe kama naongopa.. haijachukuliwa mtandaoni na kupachikwa neno simba sports club