Kama kuna kaukweli kanakujakuja hivi.
ila hapana bwana kunawataalam walikaa wakatafiti.
Hata kama Mo amepigwa we inakuuma nini nyie ndio mnaopenda wenzenu wabaki masikini hata wakipata dili kwa matajili mnaanza chokochokoMo wamempiga hela ..
Tazama picha kwa umakini.. logo wameichukua google kisha wakaigeuza kutoka kuangalia kushoto na kwenda kuangalia kulia.. hiyo kitu hata kwa simu yako unaweza kufanya kwa app za picha.. kisha wakaweka neno simba sports club na rangi nyekundu tu.. badala ya blue ile ya picha halisi google.
Hata kama Mo amepigwa we inakuuma nini nyie ndio mnaopenda wenzenu wabaki masikini hata wakipata dili kwa matajili mnaanza chokochoko
Sawa ila kikubwa huwezi fanya jambo jipya la kipekeyako lisifanane na mwengine kwa karne hii ya 21.Mo wamempiga hela ..
Tazama picha kwa umakini.. logo wameichukua google kisha wakaigeuza kutoka kuangalia kushoto na kwenda kuangalia kulia.. hiyo kitu hata kwa simu yako unaweza kufanya kwa app za picha.. kisha wakaweka neno simba sports club na rangi nyekundu tu.. badala ya blue ile ya picha halisi google.
Board ya wakurugenzi. Achana na Utopolo mpaka wanachama wakae kupitishaLogo ya Simba imebadilishwa na kuidhinishwa kutumika.
Swali langu ni je, taratibu za kuibadili na kuitumia nembo mpya ya Simba zimefuatwa?
Sawa ila kikubwa huwezi fanya jambo jipya la kipekeyako lisifanane na mwengine kwa karne hii ya 21.
Embu nambie na nyinyi utopolo mtabadili lini Logo yenu?
kwenye logo yenu kuna wakinadada wancheza rede,kuna masumbwi,kuna nyota shehe Yahaya za unajimu,mwenge wa tanu.View attachment 1542812
Ko ulitaka tumkee we ufurahi, Mwanaume unakua mbea ka mtoto wa kike, acheni kuropoka ka manyaniKwasasa hakuna wa ku mkemea MO pale mbumbumbu fc, MO anafanya anayotaka ukichukulia anaidai klabu sasa watamfanya nini?
Hahahaha wakiendelea kumsikiliza manara watapoteaNembo yenyewe wameichukua google tu na kuongezea jina lao simba sports club. Na hapo Mo wamempiga hela ya nembo kina manara kumbe wame download google tu..
Tatizo utopolo mnafanya mambo kwa blabla nyingi.Yanga ni sports club... sio football peke yake... hao wadada wanawakilisha timu ya netball.. hao masumbwi wanawakilisha mabondia.. na mwenge huo unawakilisha yanga ilitumika kupigania uhuru bila ya wakoloni kugundua.. vikao vilikuwa vinafanyika yanga jioni.. wakoloni wanajua watu wapo wanaongelea mpira.. ndio maana kina keneth kaunda walikuwa wanachama wa yanga..
Sisi tunaheshimu ancestors wetu yanga.. logo itabaki hiyo hiyo miaka yote
unataka iwe kama ya utopolo kuna hadi binti wa buzaLogo ya Simba imebadilishwa na kuidhinishwa kutumika.
Swali langu ni je, taratibu za kuibadili na kuitumia nembo mpya ya Simba zimefuatwa?
Akiwa kwenye mali hakuna wa kumzuia.Akija mwekezaji mwingine naye ruksa?
Mo Ni mtu Safi Sana, ameamua kugharamia starehe yetu ya mpira, kwanini tusimhurumie anapopigwa kizembe, kwanini wahuni wampige hivi kwa copy and paste za watu wengine?Hata kama Mo amepigwa we inakuuma nini nyie ndio mnaopenda wenzenu wabaki masikini hata wakipata dili kwa matajili mnaanza chokochoko
Nembo Ni icon ya timu, inabeba historia ya club, kuibadili lazima kuwe na sababu za msingi ambazo Ni obvious kwa wadau wote, sio mtu anakwenda kukopi mtandaoni nembo ya mtu na kuja kubadilisha historia ya timu. Wewe Ni Nani hadi uyafanye hayo? Au unatafuta kuweka historia kuwa ulibadikisha nembo ya Simba? Kwani nembo ndo inayocheza? ikibaki inazuia nn?Akiwa kwenye mali hakuna wa kumzuia.
Aulizwe Mo hayo maswali. Maana kasema Simba aliyekuwepo kazeekaNembo Ni icon ya timu, inabeba historia ya club, kuibadili lazima kuwe na sababu za msingi ambazo Ni obvious kwa wadau wote, sio mtu anakwenda kukopi mtandaoni nembo ya mtu na kuja kubadilisha historia ya timu. Wewe Ni Nani hadi uyafanye hayo? Au unatafuta kuweka historia kuwa ulibadikisha nembo ya Simba? Kwani nembo ndo inayocheza? ikibaki inazuia nn?
Unajua logo ya Simba imebadilishwa Mara ngapi?
Alhamdulilah, hii Ni haibu, maana hii Ni copy and paste, neno, macho, visikio, pua na hata manyoa na macho. Kwani mchoraji/aliyekopi kapewa Bei gani?. Tuingize hii logo kwenye turntin ili tuone kiwango Cha plagiarism kilivyofanyika.Nembo ya simba hiyo hapo nimeitoa google image adobe stock.
Mkiambiwa ukweli mikia mnakasirika.. mtakuja kufungwa kwa kuiba iba logo za watu google
Lazima waingie makubaliano na mmiliki halisi wa mchoro au wamtambue (acknowledge) author kwenye nemboKwa timu kubwa kama simba wanaweza wakashtakiwa na mchoraji wa logo akigundua.. maana logo za google nyingi zimechorwa majuu.. huko wana mambo ya hatimiliki sana.. simba ni taasisi inahitaji umakini kwenye mambo yake.. sio kulipua lipua mambo
Chief ile ni taasisi /ofisi kuna watu wanafanya kazi pale posta wanaingia asubuh nq kitoka jioni... Sio kijiwe tena hope utaratibu umefuatwaLogo ya Simba imebadilishwa na kuidhinishwa kutumika.
Swali langu ni je, taratibu za kuibadili na kuitumia nembo mpya ya Simba zimefuatwa?
Tuombe Mungu iwe hivyo. Mimi nilitaka tu kufahamu Ni kwa namna gani nembo ya club kubwa Kama ile inaweza kubadilisha, process. Na je, hiyo process ikifuatiwa au Ni mtu kalala na kusema hii logo siitaki bila kuwaeleza wenye timu Ni sababu hipi zinazomkera kwenye nembo. Na je tenda ya kutengeneza nembo ilikuwa imetolewa kwa utaratibu unaofahamika.Chief ile ni taasisi /ofisi kuna watu wanafanya kazi pale posta wanaingia asubuh nq kitoka jioni... Sio kijiwe tena hope utaratibu umefuatwa