Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walioibuni nembo ile ya Simba walikuwa watu na wazee wenye akili zao, na walihusisha watu wengi sana na pengine hata kamati za ufundi. Bila shaka unapotaka kuibadili lazima kuwepo na sababu maalumu shirikishi za kuibadili pia. Je, kanuni na taratibu za Simba zinasermaje kuhusu kubadili nembo au katiba ya club?
Yanga mnamaneno[emoji23]Wameichukua tu google wakaipachika neno simba sports club
Je, mo mwenye 51% anayo haki ya kubadili chochote kwa mujibu wa katiba?
Simba na Yanga sio timu Kama Azam au Gwambina, hizi Ni timu za wananchi. Nembo sio kitu Cha mchezo. Mfano mtu ataweza vipi kuibadili nembo ya Taifa bila taifa kufahamu?Utopolo mmeanza chokochoko, hebu mkae mtulie huko na mavyura yenu pale bwawani!
Kwani hata akiibadili jina ikiitwa mo fc inakuuma nini?
Hebu tuwekee ule mkataba mliosaini sijui na laliga tuone ni kipengele gani kinachowafanya kila mara mnakuwa na chokochoko na mabingwa wa nchi !
Umewahi kuhoji kuhusu Manchester City kubadili Logo?Logo ya Simba imebadilishwa na kuidhinishwa kutumika.
Swali langu ni je, taratibu za kuibadili na kuitumia nembo mpya ya Simba zimefuatwa?
Unajua logo ya Simba imebadilishwa Mara ngapi?Simba na Yanga sio timu Kama Azam au Gwambina, hizi Ni timu za wananchi. Nembo sio kitu Cha mchezo. Mfano mtu ataweza vipi kuibadili nembo ya Taifa bila taifa kufahamu?
Simba na Yanga sio timu Kama Azam au Gwambina, hizi Ni timu za wananchi. Nembo sio kitu Cha mchezo. Mfano mtu ataweza vipi kuibadili nembo ya Taifa bila taifa kufahamu?
Kwani wewe ulitaka taratibu gani. Logo kubadilisha kuna mambo mengi yanaangaliwa hasa soko.Hata wao Man City bila shaka waliibadili ya kwao kwa mujibu wa katiba na kanuni za club yao. Nauliza kuhusu taratibu za Simba sio Man City
Ww una tabia kama za Lisu. Inawezekana una undugu na lisu au mnatoka kijiji kimoja au pengine mlisoma darasa moja mwalimu wenu mmoja.Walioibuni nembo ile ya Simba walikuwa watu na wazee wenye akili zao, na walihusisha watu wengi sana na pengine hata kamati za ufundi. Bila shaka unapotaka kuibadili lazima kuwepo na sababu maalumu shirikishi za kuibadili pia. Je, kanuni na taratibu za Simba zinasermaje kuhusu kubadili nembo au katiba ya club?