Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Misikiti itoe zile adhana na spika. Mabaa yote huku mitaani yawe na sound proof pamoja na hayo makanisa yenye fujo.Ila KUNA MAKANISA YAPO KARIBU NA MAKAZI YA WATU.
Yaani unakuta kanisa lipo kati kati ya nyumba za watu, Sasa bana ikifika ijumaa hadi jumapili inabidi muhame kwanza maana siyo kwa MZIKI HUO.
======
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) wametoa onyo kwa wamiliki wa sehemu za kuabudu na nyumba za starehe wanaosababisha kelele kwenye makazi ya watu na kusisitiza kuwa hatua kali zitachukuliwa ikiwa pamoja kufunga maeneo hayo
Unatumia nini kufikiria?? Adhana inakera sana. Maneno ya kiarabu kelele tupu alfajiri mpaka usiku.Misikiti ina nafuu kwakuwa wanafanya ibada kwa dakika chache sana tofauti na makanisa yanayokesha na midundo ya miziki
Mkuu nawewe kauze ili ufaidike.jamaa yale maji anachukua kiwandani ,wanamwuzia 350 kwa chupa yeye anauza 1000 nadhani kwa siku pale zinatoka chupa si chini ya 5000
Sawa mkuu.Haidhuru ila isitafsiriwe kuwa spika za misikiti ndiyo chafuzi zaidi ya makanisani kuwe na fair play
Kule posta misikitini inafunga barabara ijumaa na kuswali hapo barabarani na watu hawajalalamika.wamtoe na Mwamposa pale Kawe, analeta jam
Nadhani watu wa mipango miji wanastahili lawama, ingefaa wanapopima viwanja nyumba za ibada zitengewe maeneo makubwa ili kuwepo maeneo ya kutosha kufanyia ibada hata kwa njeKule posta misikitini inafunga barabara ijumaa na kuswali hapo barabarani na watu hawajalalamika.
poa nipo sokoniMkuu nawewe kauze ili ufaidike.
washasema sana hawa.Waanze kazi si wanakuwa waongeaji tu.Ila KUNA MAKANISA YAPO KARIBU NA MAKAZI YA WATU.
Yaani unakuta kanisa lipo kati kati ya nyumba za watu, Sasa bana ikifika ijumaa hadi jumapili inabidi muhame kwanza maana siyo kwa mziki huo, na hii sio mara ya kwanza kwa wao kutoa tamko kama hili
Pia soma: NEMC kufanya msako wa wanaopiga kelele nyakati za usiku kwa kiwango kilichozidi Desibeli 40
======
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) wametoa onyo kwa wamiliki wa sehemu za kuabudu na nyumba za starehe wanaosababisha kelele kwenye makazi ya watu na kusisitiza kuwa hatua kali zitachukuliwa ikiwa pamoja kufunga maeneo hayo