NEMC mtusaidie sauti za mitetemo toka club za starehe zina kera sana

NEMC mtusaidie sauti za mitetemo toka club za starehe zina kera sana

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Hili swala limekaa vipi kisheria

Unakuta clubs zimejazana katika maeneo ya makazi ya watu na zimekuwa zikipiga miziki mikubwa inayotoa sauti za mitetemo ambazo huathiri faragha ya mtu anakuwa nyumban kwake.

Hili swala serikali ilitazame kwa umakini maana hizi clubs siku hizi ni kifuru sana zimejazana kama yebo yebo

Mwananchi tunahitaji utulivu tuwapo majumbani mwetu
 
Back
Top Bottom