NEMC wamethubutu kuanza kudhibiti kelele, wasivunjwe moyo na Mamlaka zingine za serikali zenye viongozi wasiotumia busara

Hakuna tena Tanzania taasisi ya hovyo kama NEMC ni aibu kuiweka chini ya Makamu wa Rais. Nemc imekuwa ndio kikwazo cha maendeleo Tanzania. Ile sheria walicopy Ulaya wanatuletea hapa
Kikwazo kivipi mkuu ebu fafanua
 
Hongera kwa ujumbe mzuri na uandishi mzuri sana 🙏🙏
 
Hapa lazima NEMC wakamate wale wapigao kelele misikitini na makanisani, wengi hatutaki kelele zisizo na lazima huku mitaani ukizingatia hizi dini ni za kuletewa tu na hazina mantiki yeyote kwetu. Na ikiwezekana turuhusiwe kuwapiga fimbo au mawe hawa wapigao kelele ili wasirudie tena kutusumbua.
 
Kuna umuhimu wa Kujenga kumbi za sound proof. Na hapa ndipo clubs sasa zinapoonekana muhimu.
 
Wakishindwa! Waseme tuyabomoe tujichukulie sheria mkononi
 
Nawashauri NEMC waweke namba za simu za kikosi kazi chao ili tuwalengeshe maeneo mengi zaidi wakachukue fine, naungana nao kwa mchakato wanaoendelea nao wapo sahihi
litakuwa CHIMBO lingine la RUSHWA.......waTANZANIA wote tunajuana.....
 
Kwa kweli hata mimi nawaunga mkono, na NEMC walishatimiza wajibu wao kabla ya kuanza kuwafungia ,kuna kipindi hawa watu wa burudani waliitwa na kupewa semina lakini hawasikii ,hawa NEMC hawajakurupuka wanajua wanachikifanya
 
Hakuna tena Tanzania taasisi ya hovyo kama NEMC ni aibu kuiweka chini ya Makamu wa Rais. Nemc imekuwa ndio kikwazo cha maendeleo Tanzania. Ile sheria walicopy Ulaya wanatuletea hapa
Hebu jishikilie ,unataka watu tufe kwa makelele ?? Yani taasisi inatimiza wajibu wake unasema aibu ,hivi unajua kero za kelele usiku ?? Kama hujui ni bora ukae kimya
 
Kwa kweli hata mimi nawaunga mkono, na NEMC walishatimiza wajibu wao kabla ya kuanza kuwafungia ,kuna kipindi hawa watu wa burudani waliitwa na kupewa semina lakini hawasikii ,hawa NEMC hawajakurupuka wanajua wanachikifanya
Hakika mkuu
 
Wanasiasa wanatuharibia sana
 
Hili nalo chali NEMC wameangushwa mara ya pili kama mateso msalabani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…