Nenda Sabaya lakini bila wewe haya yasingewezekana kutokea wilaya ya Hai

UKWELI HALISI KWA 100% MUNGU NI WETU SOTE HUWA HAISHIWI MIUJIZA.
Mungu atamtendea haki daima.
 
Huyu mama kachemka mno..anatakiwa areasons sana kabla ya kutoa maamuzi..kuna shida mahala...nadhani walikuwa na bifubbinafsi lakini asingepaswa kufukia kiwango hichi.
Mwenyewe sabaya amekubali makosa wewe unamuingiza Mama hapo anakosa gani
 
Nenda Ole Sabaya, Umeachia watu ulemavu wa kudumu
 
 
Bado anakula miaka 30 mingine
 
Kumbe humu jf tuna majambazi wengi kama Sabaya, wewe ukiwa mmojawapo
 
Ataolewe ili tumuue aliobaka wake zetu
 
hivyo ni vitu vichache alivyofanya Hai, ila kuna vibaya zaidi, alishapigilia watu misumari kichwani huyo, mkoa wa arusha amevuruga kwa kupora watu pesa, kuna mengi sana sababya kafanya yanayofuta mema yote. nashukuru amefungwa gerezani, ilikuwa haki yake.
 
Shida yako Saambaya atoke au apewe cheo!? Vipi, wewe ulikuwa chawa wake!?
 
Data ZA kupikwa na Meko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…