Nenda Sabaya lakini bila wewe haya yasingewezekana kutokea wilaya ya Hai

Sabaya ni mfungwa wa kisiasa na wafungwa wa kisiasa huwa hawamalizi vifungo vyao, hata asipotolewa na rais Samia atakuja rais mwingine atamtoa na kumpa cheo.
Kama kweli wampenda, enenda basi ukampige 'tough' huko aliko huyo zimwi.
 
Wewe ni chizi kabisa wewe.
Mkuu wa wilaya anahusika vipi na ukusanywaji wa mapato hadi ya ongezeke???
Hivi nyie mnafundishwa nn hapo lumumba hadi mnashindwa kujua civics ya form two? Soma kazi za mkuu wa wilaya kama kuna inayohusu ukusanyaji wa mapato
 
Kamsaidie japo 6 month tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…