technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Yes, the family to feed halafu hana source of income, kwanini asiunge mkono juhudi za kuteka watu?!"You have the family to feed, not the community to impress". Dr. Mashinji.
Hii inayofanyika sasa hivi kama unaita demokrasia basi utakuwa una tatizo mahali.Mleta mada, huu uzi unakuondoa kwenye kundi la wapenda demokrasia.
Nunuliweni, Peweni vyeo, Pigeni propaganda zote lakini ukweli utabaki pale pale ccm sio chama tena kimepoteza dira wote mliopo ccm na mnaoelekea ccm wote ni wasaliti wa sauti ya wengi.
Tutakutana siku ya mwisho hakika mmefanikiwa kusaliti mageuzi lakini nawahakikishia wasindi ndio wale watakao baki.
Unasaliti mabadiliko unaenda kuunga mkono mauaji, utekaji uhujumu uchumi na siasa chafu za kubambikiana kesi?
Hakika hukumu yenu yaja wasaka tonge wote wasaliti wa sauti ya wengi
Bora kustaafu siasa kikaeleweka lakini sio kuwasaliti wananchi walio wengi mtalaaniwa na vizazi vyenu vyote kwa kusaliti mabadiliko.
Watu wameuwawa bila hatia sababu ya Ccm Akwilina yuko wapi? Alphonce mawazo je? wakina Ben Saanane walikuwa na hatia gani leo nikaunge juhudi za mauaji na vitisho?
Hakika sauti ya Mungu ambayo ni sauti ya wengi itawapa hukumu mbaya sana nendeni nendeni ila ukweli utabaki palepale upinzani una nguvu zaidi kipindi kama iki dunia ikiona juhudi za kuumaliza.
Muuombee adui njaa hali mbaya ya uchumi ambayo watawala wana macho kengeza nyuma ya mikamera uchumi unakua kwa kasi duu! nawapenda wanao sema kesho huwa haiji 'tomorrow never comes'Nunuliweni, Peweni vyeo, Pigeni propaganda zote lakini ukweli utabaki pale pale ccm sio chama tena kimepoteza dira wote mliopo ccm na mnaoelekea ccm wote ni wasaliti wa sauti ya wengi.
Tutakutana siku ya mwisho hakika mmefanikiwa kusaliti mageuzi lakini nawahakikishia wasindi ndio wale watakao baki.
Unasaliti mabadiliko unaenda kuunga mkono mauaji, utekaji uhujumu uchumi na siasa chafu za kubambikiana kesi?
Hakika hukumu yenu yaja wasaka tonge wote wasaliti wa sauti ya wengi
Bora kustaafu siasa kikaeleweka lakini sio kuwasaliti wananchi walio wengi mtalaaniwa na vizazi vyenu vyote kwa kusaliti mabadiliko.
Watu wameuwawa bila hatia sababu ya Ccm Akwilina yuko wapi? Alphonce mawazo je? wakina Ben Saanane walikuwa na hatia gani leo nikaunge juhudi za mauaji na vitisho?
Hakika sauti ya Mungu ambayo ni sauti ya wengi itawapa hukumu mbaya sana nendeni nendeni ila ukweli utabaki palepale upinzani una nguvu zaidi kipindi kama iki dunia ikiona juhudi za kuumaliza.
Wapiga kura wa 2020 wako milioni 30,Hakika sauti ya Mungu ambayo ni sauti ya wengi itawapa hukumu mbaya sana nendeni nendeni ila ukweli utabaki palepale upinzani una nguvu zaidi kipindi kama iki dunia ikiona juhudi za kuumaliza.
Mkuu kiukweli ccm ilishakufaga kitambo, wapinzani wanapambana na dola, ccm haina ubavu hata chembe wakushinda uchaguz dhidi ya wapinzani, huwo ndo ukweli na kweli ndiyo MunguWapiga kura wa 2020 wako milioni 30,
Wahamasisheni wote wajiandikishe na siku ya kupiga kura wote wajitokeze wapige kura, CCM wataendelea kupata ushindi wa kura milioni 10, halafu kura milioni 20 ni za wapinzani.
Sii wengi wanafahamu kuwa CCM ndicho chama pekee chenye hati miliki ya kuitawala Tanzania milele, na hata Baba wa Taifa letu Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alisema rais bora atatoka CCM.
Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
Wanabodi, Leo tena naendelea na zile Makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Topic yangu ya leo ni kutuhusu sisi Watanzania, ili tupate maendeleo ya kweli, ni lazima tujifunze kuupokea na kuubali ukweli halisi ulipo, ukweli bayana, hata huo ukweli ukiwa mchungu vipi, ukweli ni ukweli tuu, na siku...www.jamiiforums.com
P
Demokrasia ni pamoja na kukubali maamuzi ya mwenzako. Hakuna mkataba wowote au sheria yoyote inayomkataza mwanasiasa kubaki au kuhama chama.Hii inayofanyika sasa hivi kama unaita demokrasia basi utakuwa una tatizo mahali.
Yanayoendelea sasa hivi kwa wanasiasa kuelekea ccm sio aina ya siasa safi bali uharamia na blackmailed tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
akina lowasa ,sumaye nk walipohamia kwenu chadema ilikuwa demokrasia au blavk mail? tundu lisu na godbles lema ni wahamiaji toka vyama vya NCCR na TLP vipi hiyo ni demokrasia au bkackmail?Hii inayofanyika sasa hivi kama unaita demokrasia basi utakuwa una tatizo mahali.
Yanayoendelea sasa hivi kwa wanasiasa kuelekea ccm sio aina ya siasa safi bali uharamia na blackmailed tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Li CCM lenu lilisha jifia kitambo. Li MAGUFURI lenu limebakia kununua watu na kugawa mabunda ya noti kama njugu. Ingekuwa takukuru sio tawi la ccm ingetakiwa achunguzwe. But takukuru imegeuka kuwa tawi la kuilinda ccm too bad!Bakini huko matapeli wa kisiasa.