Hahaha huu utani mzuri Anaesthesiologist unaapa huwezi kuwa CCM wakati Mashinji anaesthesiologist kajiunga ccm juzi. ID yako mpya au wewe ndiye Mashinji unatufurahisha.Naaapa siwezi kuwa CCM hata kiasi gani cha pesa
Hahaha huu utani mzuri Anaesthesiologist unaapa huwezi kuwa CCM wakati Mashinji anaesthesiologist kajiunga ccm juzi. ID yako mpya au wewe ndiye Mashinji unatufurahisha.Naaapa siwezi kuwa CCM hata kiasi gani cha pesa
Umeandika kwa hasira za kuku kwa mwewe...Nunuliweni, Peweni vyeo, Pigeni propaganda zote lakini ukweli utabaki pale pale ccm sio chama tena kimepoteza dira wote mliopo ccm na mnaoelekea ccm wote ni wasaliti wa sauti ya wengi.
Tutakutana siku ya mwisho hakika mmefanikiwa kusaliti mageuzi lakini nawahakikishia wasindi ndio wale watakao baki.
Unasaliti mabadiliko unaenda kuunga mkono mauaji, utekaji uhujumu uchumi na siasa chafu za kubambikiana kesi?
Hakika hukumu yenu yaja wasaka tonge wote wasaliti wa sauti ya wengi
Bora kustaafu siasa kikaeleweka lakini sio kuwasaliti wananchi walio wengi mtalaaniwa na vizazi vyenu vyote kwa kusaliti mabadiliko.
Watu wameuwawa bila hatia sababu ya Ccm Akwilina yuko wapi? Alphonce mawazo je? wakina Ben Saanane walikuwa na hatia gani leo nikaunge juhudi za mauaji na vitisho?
Hakika sauti ya Mungu ambayo ni sauti ya wengi itawapa hukumu mbaya sana nendeni nendeni ila ukweli utabaki palepale upinzani una nguvu zaidi kipindi kama iki dunia ikiona juhudi za kuumaliza.
Nyakati wewe zoba! Mambo yaliyotokea 1965 huwezi kuyalinganisha na 1980 au ya 2000 na 2018 lazima sababu hazifanani. Huu ujinga unaotokea kwa ccm ya Magufuli ni aibu ndio maana huoni hata hao wahamaji wakiwa na sura za bashasha wako kama waliofumaniwaakina lowasa ,sumaye nk walipohamia kwenu chadema ilikuwa demokrasia au blavk mail? tundu lisu na godbles lema ni wahamiaji toka vyama vya NCCR na TLP vipi hiyo ni demokrasia au bkackmail?
chadema mumejaa utoto mwingi hamkomai kisiasa ndio maana watu makini wanaondoka.mna siasa za kitoto
Demokrasia ni pamoja na kukubali maamuzi ya mwenzako. Hakuna mkataba wowote au sheria yoyote inayomkataza mwanasiasa kubaki au kuhama chama.
Swali langu kwako je ikitokea wimbi kubwa la wana CCM wanahama na kukimbilia Upinzani, hiyo haitakuwa demokrasia?
Huu ndyo muonekano wa wasaka tonge wa hivi sasa wakidanganya jamii kuwa ni wazalendi"You have the family to feed, not the community to impress". Dr. Mashinji.