Nendeni CCM wote wasaliti wakubwa wa mabadiliko

Naaapa siwezi kuwa CCM hata kiasi gani cha pesa
Hahaha huu utani mzuri Anaesthesiologist unaapa huwezi kuwa CCM wakati Mashinji anaesthesiologist kajiunga ccm juzi. ID yako mpya au wewe ndiye Mashinji unatufurahisha.
 
Umeandika kwa hasira za kuku kwa mwewe...
 
Nyakati wewe zoba! Mambo yaliyotokea 1965 huwezi kuyalinganisha na 1980 au ya 2000 na 2018 lazima sababu hazifanani. Huu ujinga unaotokea kwa ccm ya Magufuli ni aibu ndio maana huoni hata hao wahamaji wakiwa na sura za bashasha wako kama waliofumaniwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kuna mambo unatakiwa kuangalia kwanza. CCM ni chama kilichoshika dola hivyo mtu kukikimbia ni dhahiri manufaa binafsi mengi atayapoteza.
Lakini mtu anayetoka chama kinacholia kuwapigania watu kwa yale yasiyotimizwa na watawala na wakati bado anayopigania hayajatimia anaungana nao tayari picha ya kurubuniwa inakuwa wazi pamoja na hakuna sheria inayo mkataza.
Baada ya hapo unatumia akili yako maana wewe sio ng'ombe unao uwezo wa kufikiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…