NENDENI UWANJANI ILI MMLAUMU ZAHERA VZR ACHENI POROJO MASHABIKI WA YANGA.

NENDENI UWANJANI ILI MMLAUMU ZAHERA VZR ACHENI POROJO MASHABIKI WA YANGA.

Ukishakua na tabia ya kulalamika lalamika kila kitu utaona unaonewa, wananchi gani hata uwanjani mnaogopa kwenda?. Alafu Simba ikicheza mnaenda kushangilia wageni, mchango wenu kwenye Yanga ni upi sasa?, kusubiria bakuli au kulalamika?. Acheni hzo bhana.
Yanga kwa sasa wanamatatizo makubwa sana pale klabuni, hamasa haipo kabisa,,

We angalia hata page yao ya twitter au instagram,, pako kimya sanaa,,
 
nyie bado hamjui? fans wa vyura enyewe wanaipenda simba. huoni kwenye match zetu wanajaa wanajifanya kushangilia wageni. ikifika match yao wanakuwa bariiiiidi!!!
 
Nahisi yanga waambiwe watu 1000 wa kwanza kuingia watalipiwa tiketi hapo nahisi watu watalala Taifa wakisubiria ofa lakini hivi hivi sidhani au wawawekee kwamba wakijaza uwanja watapewa chakula na soda hahahah
 
Back
Top Bottom