1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Yanga kwa sasa wanamatatizo makubwa sana pale klabuni, hamasa haipo kabisa,,Ukishakua na tabia ya kulalamika lalamika kila kitu utaona unaonewa, wananchi gani hata uwanjani mnaogopa kwenda?. Alafu Simba ikicheza mnaenda kushangilia wageni, mchango wenu kwenye Yanga ni upi sasa?, kusubiria bakuli au kulalamika?. Acheni hzo bhana.
We angalia hata page yao ya twitter au instagram,, pako kimya sanaa,,