Neno Amani kilicho na kichaka chenye vivuli viovu vya CCM

Neno Amani kilicho na kichaka chenye vivuli viovu vya CCM

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Sijawahi kusikia CCM kazungumzia neno haki.Wao ni Amani tu.

Hii Amani imekuwa kichaka cha CCM kuaminisha watu huku wakijua haki hakuna na wafanyao sio haki.

Neno haki limekuwa likikwepeshwa sana sababu wakilisema litawavua nguo kwa matendo yao yanayo minya haki.

Haki imekuwa mwiba kwao.
 
Wakikufikia cha kwanza unaambiwa onyesha kadi ya chama km huna utajieleza vizuri kwanini huna
 
Back
Top Bottom