Neno “Asante” ni dogo sana lakini lina maana kubwa sana

Neno “Asante” ni dogo sana lakini lina maana kubwa sana

realMamy

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2024
Posts
3,925
Reaction score
8,853
Kiukweli kabisa kuna watu hawajui kusema Asante Jamani! Sijui ni kutokuridhika na hata kitu kidogo.
Usiposema asante huwezi pata zaidi hata siku moja zaidi ya kupoteza.

Mimi binafsi kuna nimempatia vitu vingi lakini ni kama anataka zaidi yani anaonyesha kuna kitu bado sijampa.

Hiki kitu kinaudhi sana. Hadi unawaza huyu mtu anataka nini Jamani? Tujifunze kusema Asante haijalishi umepewa kitu gani.
 
kama unawazungumzia watu hawahawa ambao ukiwasaidia wanaona ni haki yao kupewa??,. Neno Asante unaweza ukalisubiri sanaa
 
Back
Top Bottom