Neno gani ulimwambia mpenzi wako baada ya kuachana?

Sibishi kuwa nilikupenda lakini bahati mbaya hatukuendana na sina budi kusema kwekheri katika ukurasa wa mapenzi.
Ahsante kwa muda ulio utumia kwungu, pole kwa muda ulio poteza.
[emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji124] [emoji124]
 
Sasa mmeachana kwanini mbona kama mnapendana?
 
Mi nilimwacha nikamwambia my heart has failed to love you, I am sorry....

Tumekutana tena baada ya miaka 6 kupita, nikampenda sana lakini sasa naye ameniacha tena dizain ya kulipiza kisasi huku akijua nampenda sanaa

Kwa iyo nimeopt kubakia kimya

Tym hii ninapoandika comment hii kidonda ndo kimeanza kukauka
 
Paka sipirit kuondoa kabisa na kovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…