Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asee, lakini home hatujakufundisha matusi DadaUnashangaa nini???? Unakuta mtu keshakwambia, Jovitha eee, naomba safari yetu iishie hapa unamwambia sawa ukikaaa Siku mbili unaona tena imla zake,,, huwa nakereka kweliiii kwahiyo lzm niwe mkali ndiyo tunaanza matusi[emoji4]
Inapunguzaga machungu kiainaKumtukana siyo uungwana. Hukulazimishwa kuwa naye kama olunapenda kutukana watoto wa wenzio zaa wako.
Nae atasema asante kwa huduma zako, mal.... weMe ntamwambia yaani nilikuwa nakuvumilia tu, siku ukisikia tangazo wanaume watoke mbele wale usijitie aibu tulia ulipokaa usiende popote (nampa na msonyo wa harmorappa)
Ntamwambia kwa hilo jasho lako (kibeberu)nimekuvumilia vya kutosha nenda tuu
Sawa siyo kila kitu mtt lzm afundishweeasee, lakini home hatujakufundisha matusi Dada
aseeh umebadilika kweliSawa siyo kila kitu mtt lzm afundishwee
HahahahahahPaka sipirit kuondoa kabisa na kovu
Nani mkuu, fafanua please and whyMjinga sana
Alijua kabahatisha siti ya mbeleMimi nilimuambia kua "siku zote anakaa sana stendi kwaajili yakusubiri siti ya mbele mwishowe hupanda kwenye buti kwa kuchelewa" na sasa nimemuona amechelewa anatamani hata kuolewa mke wa sita pumbavu zake
Kwenye standard ya maisha kati ya ww na yeye mmeachana kwa ratio kubwa hivoo 4:1?mimi huwa sina neno nauchuna(ga) tu ili siku nikiwa na genye nirudi
mmoja aliniavha kwa sababu ya kumkumbushia sana kosa flani, now ameolewa ana maisha yake na kazi nzuri kuliko mimi. na huwa ananitext kunipa msaada ila nakauka kama simjui maana nahisi huwa ananibeza kimtindo.(najuta kuachana nae)
Itabidi maana namuda umeenda nagari niya mwisho hiyoAlijua kabahatisha siti ya mbele
Kumbe kakalia siti ya dereva
Kwann asirudi kwenye Buti?