Neno gani ulimwambia mpenzi wako baada ya kuachana?

Neno gani ulimwambia mpenzi wako baada ya kuachana?

Naona watu walipeana maneno ya kujifariji. Ukiachana na mtu si ndio imetoka hiyo? Good luck, go to hell, utanikumbuka, unanuka pichu, kibeberu...yote hayo ni kujipa faraja tu.
 
Is it so easy to you to say my love become a forgotten past?
But what about my heart...
if he asked about you
what should I say??
I will say our love story was a big joke to you
therefore you through that love away
And every single moment btn us was a big lie.
I will tell my heart to forget your hollow love
and the one you once loved is different now!!.
Ndo mwanamke pekee nilyemuaga na maneno kuntu ambayo yote niliongelea upande wang tu bila kuongelea kuwa yeye nin kitatokea baada ya kuachana.
Alichonijibu sasa nitarudi baadae kutype.
But all in all sijui nin kilimkuta huko aliko coz now tuko nchi tofauti hatuna mawasiliano but kwny mitandao ya kijamii hatukuterminate Urafiki Nilikuja kushangaa Alipost picha yang kwny page yake huku neno lilofuatia ni "am missing you a lot" nlpta kama sijaona chochot huwa sirud nyuma kwangu n mwiko kabsa no matter what.
 
Unashangaa nini???? Unakuta mtu keshakwambia, Jovitha eee, naomba safari yetu iishie hapa unamwambia sawa ukikaaa Siku mbili unaona tena imla zake,,, huwa nakereka kweliiii kwahiyo lzm niwe mkali ndiyo tunaanza matusi[emoji4]
asee, lakini home hatujakufundisha matusi Dada
 
Me ntamwambia yaani nilikuwa nakuvumilia tu, siku ukisikia tangazo wanaume watoke mbele wale usijitie aibu tulia ulipokaa usiende popote (nampa na msonyo wa harmorappa)
Nae atasema asante kwa huduma zako, mal.... we
 
Mimi nilimuambia kua "siku zote anakaa sana stendi kwaajili yakusubiri siti ya mbele mwishowe hupanda kwenye buti kwa kuchelewa" na sasa nimemuona amechelewa anatamani hata kuolewa mke wa sita pumbavu zake
Alijua kabahatisha siti ya mbele
Kumbe kakalia siti ya dereva
Kwann asirudi kwenye Buti?
 
mimi huwa sina neno nauchuna(ga) tu ili siku nikiwa na genye nirudi

mmoja aliniavha kwa sababu ya kumkumbushia sana kosa flani, now ameolewa ana maisha yake na kazi nzuri kuliko mimi. na huwa ananitext kunipa msaada ila nakauka kama simjui maana nahisi huwa ananibeza kimtindo.(najuta kuachana nae)
Kwenye standard ya maisha kati ya ww na yeye mmeachana kwa ratio kubwa hivoo 4:1?
 
f8cfd4a4b1ed43fa7b2f0855951e64f9.jpg

Nilimwambia hivi [emoji1312]
 
dαh nαkumвukα nílíαmвíwα "єnjσч lífє + kíchєkσ nα mѕσnчσ " αf nσw αnαjírudí cjuí wαnαníní hαwα víumвє
 
Back
Top Bottom