Neno gani ulimwambia mpenzi wako baada ya kuachana?

Neno gani ulimwambia mpenzi wako baada ya kuachana?

Nlimwambia Mungu ana makusudi kwa kila jambo ko hata hili naamini Mungu ameona linafaa kutokeaa....nakutakiaa maisha memaa na Mungu akupe mke mwemaa and Am Praying for You....Alafu nkamsamehe vimbwanga vyote alivyofanya nkapata Amani ya Kumoveon....And now ni story nyingineee
 
Mi nlimwambia ipo siku utajua nilikupenda na kweli sahizi ananiomba msamaha ila ndo nishapata girl mwingine wewe ulimwambiaje mpenzi wako mlivyoachana?
Aseeh. Nilichomwambia mpk sasa najilaumu, unalinga nini wakt tukivua nguo wote nzi watakufuata coz unaoza every month..
 
Nilimwambia unajeuri kwasababu chuchu zimesimama ngoja zilale utajua wanaume ni watu gani!!maana ata bibi yako alikuwa na chuchu sa sita na ni mwanamke ila jiulize kwanini atongozwi.
Safi kabisa mkuu natamani nikutafute unishauri kuna msukuma huku analeta jeuri nashindwa kumuacha kila nikipanga kuacha huruma huja nakuwa mpole lakini naona km amazing kujibinua..
 
Hutokaa upate tigo tamu kama hii niliyokuwa nakupa.
Fa.la we.....
Naona anaanza kunitumia emoji za kula matapishi yake.
Tigo adimu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mwenza kesho nina mualiko, na hivyo mume yuko kwako, yaani ni full kujiachia.
Aisee mpaka nakutamani.
Wangu kila nikigeuka, huyu hapa makalioni.
Mpaka najiuliza si akalie Idd kwao?
Mie nimekataa kwenda ukweni....na yeye eti amekataa.
Yaani katibua kila kitu....nilipanga bonge la dili na mchepuko, naona anataka kunizidi akili.
Ila mwanamke ni mwanamke....acha nimfurahishe.
 
Back
Top Bottom