Neno guys, si heshima kutumiwa na kiongozi mkubwa anayejiheshimu

BIG BROTHER ALEX

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2025
Posts
1,293
Reaction score
2,265
Guys ni kingereza fasaha lakini matumizi yake, na anavo tumia Fulani sio sahihi, guys tumia kwa vijana na lika la kawaida, wazee wetu kuwaita guyz ni kipimo Cha dharau na kuto jitambua, naomba ashauriwe, sio VIZURI, tumevumilia Sasa basi.
 
Guys guys , guys kwani hujui kwa nini anawaita hivyo. Wapo madarakanikihuni na hamuwafanyi kitu guys. Wanafanya ufisadi na hamuwafanyi kitu guys. Hasa huyu mr guys amefisidi sana pale wizarani guys na bado amepewa upm guys.
 
Guyss
1000253807.jpg
 
Alitumia Guys kwa audience aliyokuwa nayo ya waandishi wa habari ambao wengi walikuwa rika lake na wengine wadogo zake. Sema kwasasa wabongo Tumeamua kuwa negative kwa kila kitu au matamshi ya Serikali. Vitu vingine ivi sio ishu tupambane sasa taifa lisonge mbele
 
Taifa lisonge mbele kwa kuteka na kuua? Miaka sitini mpaka Leo hata maji TU yametushinda? Dawa mahospitalini isha kuwa BIASHARA ya WAKUBWA, niambie tunasongaje mbele? Au na wewe ni mlamba asali? Alie shiba hamjui mwenye njaa, hamriziki mnataka hata huyo mwenye njaa muue tena, shit
 
Ndio maana mnaitwa malofa...ukiwa kiongozi wa ngazi ya juu lazima ujue namna kuzungumza na hadhira
 
Taifa lisonge mbele kwa kuteka na kuua? Miaka sitini mpaka Leo hata maji TU yametushinda? Dawa mahospitalini isha kuwa BIASHARA ya WAKUBWA, niambie tunasongaje mbele? Au na wewe ni mlamba asali? Alie shiba hamjui mwenye njaa, hamriziki mnataka hata huyo mwenye njaa muue tena, shit
asikusumbue kichwa huyo ni mtoto wa lofa...mtoto wa lofa ni lofa pia
 
Guys ni kingereza fasaha lakini matumizi yake, na anavo tumia Fulani sio sahihi, guys tumia kwa vijana na lika la kawaida, wazee wetu kuwaita guyz ni kipimo Cha dharau na kuto jitambua, naomba ashauriwe, sio VIZURI, tumevumilia Sasa basi.
Lugha za kishoga hizo.
 
Back
Top Bottom