BIG BROTHER ALEX
JF-Expert Member
- Sep 24, 2025
- 1,293
- 2,265
Na kizungu hawakiweziWanaacha kutumia kiswahili wanajifanya wazungu
Taifa lisonge mbele kwa kuteka na kuua? Miaka sitini mpaka Leo hata maji TU yametushinda? Dawa mahospitalini isha kuwa BIASHARA ya WAKUBWA, niambie tunasongaje mbele? Au na wewe ni mlamba asali? Alie shiba hamjui mwenye njaa, hamriziki mnataka hata huyo mwenye njaa muue tena, shitAlitumia Guys kwa audience aliyokuwa nayo ya waandishi wa habari ambao wengi walikuwa rika lake na wengine wadogo zake. Sema kwasasa wabongo Tumeamua kuwa negative kwa kila kitu au matamshi ya Serikali. Vitu vingine ivi sio ishu tupambane sasa taifa lisonge mbele
Ndio maana mnaitwa malofa...ukiwa kiongozi wa ngazi ya juu lazima ujue namna kuzungumza na hadhiraAlitumia Guys kwa audience aliyokuwa nayo ya waandishi wa habari ambao wengi walikuwa rika lake na wengine wadogo zake. Sema kwasasa wabongo Tumeamua kuwa negative kwa kila kitu au matamshi ya Serikali. Vitu vingine ivi sio ishu tupambane sasa taifa lisonge mbele
asikusumbue kichwa huyo ni mtoto wa lofa...mtoto wa lofa ni lofa piaTaifa lisonge mbele kwa kuteka na kuua? Miaka sitini mpaka Leo hata maji TU yametushinda? Dawa mahospitalini isha kuwa BIASHARA ya WAKUBWA, niambie tunasongaje mbele? Au na wewe ni mlamba asali? Alie shiba hamjui mwenye njaa, hamriziki mnataka hata huyo mwenye njaa muue tena, shit
Kweli mkuu NAMI sijui nikoje kibishana na sokwe huyoasikusumbue kichwa huyo ni mtoto wa lofa...mtoto wa lofa ni lofa pia
Lugha za kishoga hizo.Guys ni kingereza fasaha lakini matumizi yake, na anavo tumia Fulani sio sahihi, guys tumia kwa vijana na lika la kawaida, wazee wetu kuwaita guyz ni kipimo Cha dharau na kuto jitambua, naomba ashauriwe, sio VIZURI, tumevumilia Sasa basi.