Neno hili likumbuke sana ewe mfuatiliaji wa siasa za Tanzania

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,252
Reaction score
36,513
Nimeona niseme hapa jambo muhimu.

Iwapo kama siyo Mungu hakuna anayeweza lolote, basi aliye juu aangalie asijeanguka.

Ujumbe kwa watawala upo katika Ufunuo wa Yohana 3: 11.

Naam atakuja kuwapatiliza kila mtu kwa kipimo alichowajazia wengine.

Mungu ailinde Tanzania kwa kila pito tunalopita na kupitishwa
 
Huu ujumbe kwa watawala wa dunia hasa wa kisiasa ni kama unampigia meee gitaa!!
 
Nimeona niseme hapa jambo muhimu.

Iwapo kama siyo Mungu hakuna anayeweza lolote, basi aliye juu aangalie asijeanguka.

Ujumbe kwa watawala upo katika Ufunuo wa Yohana 3: 11.

Naam atakuja kuwapatiliza kila mtu kwa kipimo alichowajazia wengine.

Mungu ailinde Tanzania kwa kila pito tunalopita na kupitishwa
Amina
 
Mwigulu anakwenda kuumaliza uchumi wa nchi kabisa. Labda waihamishie wizara ya fedha ofisi ya makamu wa rais, apewa mamlaka ya kuidhinisha kila kitu.

Akina mwigulu wawe mawaziri majina tu, kiutendaji wawe kama naibu waziri. Mambo mazito aachiwe Dr. Mpango.

Kinyume chake huko tuendako Mungu tu ndio anajua.
 
Back
Top Bottom