Neno jipya "Usinifokee”

Jaluo_Nyeupe

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2010
Posts
2,824
Reaction score
2,264
Hili neno limeongezeka umaarufu siku za hivi karibuni na inaonekana limepata maana mpya kwani linapachikwa kwenye kila sentesi.

Je nini maana yake? Ilikuwaje likaanza kutrend ghafla?
 
Habari za jumamosi.

Naona huu msemo umeshika nafasi kwa sasa,wadau ningependa kujua au kukumbushwa,huu msemo aliuanzisha ndugu Nani?

Kwa mfano
Aliekua RC wa Tabora aliuanzisha fyekelea mbali, sukuma ndani.
 
Na umetrend kinyama kila kona Insta, facebook nk nk, kila kona 'usitufokee'!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…