MoneyHeist4
JF-Expert Member
- Jul 10, 2017
- 2,134
- 3,192
Huo msemo nauona wa kifala sana harafu umekaaa kishoga tu. Mwanaume anayetamka huo msemo achunguzwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wew umesikia wapiHabari za jumamosi.
Naona huu msemo umeshika nafasi kwa sasa,wadau ningependa kujua au kukumbushwa,huu msemo aliuanzisha ndugu Nani?
Kwa mfano
Aliekua RC wa tabora aliuanzisha fyekelea mbali, sukuma ndani.
Ni msemo uliotokea mara tu watu wanaoishi dar kufokewa na mtu ambae hakuwa na mamlaka yoyote Kwa kuwafokea Kuwaita kuwa ni wambea 70Wew umesikia wapi
Huo msemo..Ni msemo uliotokea mara tu watu wanaoishi dar kufokewa na mtu ambae hakuwa na mamlaka yoyote Kwa kuwafokea Kuwaita kuwa ni wambea 70
Hahha, mtaje.Muulize Yule mzeee aliewafokea watu Wa Dar Kwa kuwaita kuwa ni wambea Kwa asilimia 70 Wakati anasema hivyo alikuwa akiwafokea na kuwanyoshea kidole ndio akaambiwa kuwa asiwafokee maana hana mamlaka yoyote yakumfanya awafokee
Yuko humu humu atajitaja mwenyewe, maana anavyopenda umbea lazima hii mada anaionaHahha, mtaje.
You are very rightHuo msemo nauona wa kifala sana harafu umekaaa kishoga tu. Mwanaume anayetamka huo msemo achunguzwe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38]Ni kweli kipindi hiki cha Uchaguzi terminology nyingi zinazaliwa. Ona hii nayo...
"Kufuli tunavunja, Pombe tunamwaga na Ikulu tunaingia"...
Ni kazi nzuri ta Baba Levo[emoji23].... alieleza aliposhiriki kipindi cha BIG SUNDAY LIVE. Rejelea mahojiano yale mkuuHabari za jumamosi.
Naona huu msemo umeshika nafasi kwa sasa,wadau ningependa kujua au kukumbushwa,huu msemo aliuanzisha ndugu Nani?
Kwa mfano
Aliekua RC wa tabora aliuanzisha fyekelea mbali, sukuma ndani.
Baba LevoHabari za jumamosi.
Naona huu msemo umeshika nafasi kwa sasa,wadau ningependa kujua au kukumbushwa,huu msemo aliuanzisha ndugu Nani?
Kwa mfano
Aliekua RC wa tabora aliuanzisha fyekelea mbali, sukuma ndani.
😂 😂 😂 😂 😂 😂Ni manenobya kupita tu.View attachment 1541058
Na umetrend kinyama kila kona Insta, facebook nk nk, kila kona 'usitufokee'!
Hili neno limeongezeka umaarufu siku za hivi karibuni na inaonekana limepata maana mpya kwani linapachikwa kwenye kila sentesi.
Je nini maana yake? Ilikuwaje likaanza kutrend ghafla?
Huo msemo nauona wa kifala sana harafu umekaaa kishoga tu. Mwanaume anayetamka huo msemo achunguzwe
Kitrend = KuvumaHivi hili neno "Kutrend" halina kiswahili!?
Huu msemo kauanzisha Baba LevoBinafsi niliwahi kumuuliza mmoja wa wadau huku mtaani ninapoishi, aliniambia kuwa msemo huo (Usinifokee/Usitufokee) umeanzia kwenye sherehe ya harusi ya Dada wa Mwanamuziki Nasibu Abdul( Daimond) aitwaye Esma. Katika kutoa zawadi kwa maharusi Daimond alionyesha jeuri ya fedha, sasa kuona hivyo ndipo ndugu wa mume (wakwe) wakamwambia "Usitufokee" na wao wakaenda kutunza fedha zaidi.
Kama itakuwa kinyume nipo tayari kurekebishwa.