Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Nilimsikia Mzee Polepole, eti naye anaonya….. "MSITUFOKEE!"Usitufokee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilimsikia Mzee Polepole, eti naye anaonya….. "MSITUFOKEE!"Usitufokee
atakuwa ni TID
Baba Levosijajua mwanzilishi
Hili neno lilianzishwa na baba levo, yeye mwenyewe alikiri kuwa mwanzilishi lakini mara ya kwanza alilitamka kwenye scenario gani na kwanini ndo sijui.Hili neno limeongezeka umaarufu siku za hivi karibuni na inaonekana limepata maana mpya kwani linapachikwa kwenye kila sentesi.
Je nini maana yake? Ilikuwaje likaanza kutrend ghafla?