Neno jipya "Usinifokee”

Huu msemo ntakuja kupiga mtu Mimi,hasa videmu
 
Hili neno limeongezeka umaarufu siku za hivi karibuni na inaonekana limepata maana mpya kwani linapachikwa kwenye kila sentesi.

Je nini maana yake? Ilikuwaje likaanza kutrend ghafla?
Hili neno lilianzishwa na baba levo, yeye mwenyewe alikiri kuwa mwanzilishi lakini mara ya kwanza alilitamka kwenye scenario gani na kwanini ndo sijui.
Jamaa ameprint hadi t-shirts kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…