Neno kubarikiwa limeshuka hadhi. Wagalatia tunapita wakati mgumu sana

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka wanajamvi.

Yani Papa katuangusha sana. Sasa hivi mtu unaogopa hata kubarikiwa tu na mchungaji.

Yani hata humu jamvin upande wa pili wanatudhibiti sana katika hoja pinzani kwa kutuambia Nenda kabarikiwe.

Unabaki tu umelegea na kunyong'onyea yani wanatuweza kichizi.

Neno kubarikiwa limeshuka hadhi na mantiki.

Papa kazingua sana.

Bora ugaidi na kuuza unga.
 
Wakatoliki kama kawaida yao wanaendelea kumiminika kwa wingi kuanzia kwenye jumuiya na parokiani kumuomba Mungu wao bila kutishwa na mtu awaye yote.

Kanisa linazidi kukua kwa kuwaaminisha injili na kuwatubisha na kuwabatiza wasio waamini na wengi wanaotoka dini yako.

Miradi mbalimbali ya kanisa yakiwemo mashule, vituo vya watoto yatima na mahospitali yanaendelea kutoa huduma kama sehemu ya uinjilishaji.

Kanisa halitishwi na halijawahi kutikiswa na tu kejeli twa watu wa imani yako kwa sababu ni watu inferior wanaodhani wataliangusha kanisa kwa mtindo kama wako.

Watu hawa walishindwa kuliangusha kanisa kwa upanga wanadhani mtindo huu utawasaidia hell no!Watu wa imani yako wanatakiwa wawekeze kwenye kuihudumia jamii na kutenda yaliyo mema. Kwa style ya vikejeli wataendelea kuwa watu wa kulalamika hadi mwisho wa dahari.

Salamaleko
 
Kama utachukulia dini kama kikosi cha jeshi, kinachojiandaa kupambana vita ya silaha, au kama utaichukulia kama mtoto unayemlea hapo naweza nikasema upo sahihi na wanaokubeza pia wapo sahihi.
Ila, kama utaichukulia dini kama njia, au kimbilio baai kuna kitu mtakuwa kwa pamoja mnakosea.

Ikumbukwe, dini ni daraja la mahusiano kati ya Mungu na Wanadam, dini inapaswa kutafuta waliopotea na kuwarejesha kundini. Dini ni Daktari anayehitajiwa na Wagonjwa, sasa vipi wagonjwa hawa waambiwe wapone kwanza magonjwa yao ndipo wakamuone Daktari?

Kwanini waliopotea waambiwe watafute wenyewe njia mpaka wafike?

NI utamaduni wa kawaida kwa waumini wa dini zote kuomba baraka/dua kabla ya tukio, ni kama wanajikabidhi kwa Mungu awaongoze, sasa kuna tatizo gani kuwakabidhi (kuwabariki) mikononi mwa Mungu watu wenye tabia hizo zinazopingwa? Nadhani ni sahihi kuwabariki na kumualika Roho Mtakatifu katika maisha yao ili waweze kufunguliwa kiakili na kuiona Nuru.
Kumbariki muovu ni tofauti na kuubariki uovu, muovu anahitaji baraka ili aondokane na uovu wake.
 
Wakatoliki kama kawaida yao wanaendelea kumiminika kwa wingi kuanzia kwenye jumuiya na parokiani kumuomba Mungu wao bila kutishwa na mtu awaye yote.

Kanisa linazidi kukua kwa kuwaaminisha injili na kuwatubisha na kuwabatiza wasio waamini na wengi wanaotoka dini yako.

Miradi mbalimbali ya kanisa yakiwemo mashule, vituo vya watoto yatima na mahospitali yanaendelea kutoa huduma kama sehemu ya uinjilishaji.

Kanisa halitishwi na halijawahi kutikiswa na tu kejeli twa watu wa imani yako kwa sababu ni watu inferior wanaodhani wataliangusha kanisa kwa mtindo kama wako.

Watu hawa walishindwa kuliangusha kanisa kwa upanga wanadhani mtindo huu utawasaidia hell no!Watu wa imani yako wanatakiwa wawekeze kwenye kuihudumia jamii na kutenda yaliyo mema. Kwa style ya vikejeli wataendelea kuwa watu wa kulalamika hadi mwisho wa dahari.

Salamaleko
Nnyaa!
 
Back
Top Bottom