Hili neno ni neno gumu sana, baya kwa watawala na zuri kwa wananchi wanyonge. Ndio msingi mama wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na almost katiba zote duniani.
Neno hili pacha wake anaitwa "Kuilinda Katiba" Ni ngumu sana kumjua mtu hasa anayeilinda katiba.
Walinda katiba ni kama majini hivi. Kwa mfano unafuga majini ambayo hayataki kabisa kuona damu, basi yanatoka na kwenda huko kula wote wanaovuja vuja damu basi wewe unafurahia. Mara paaap na wewe umejikata au umejikwaa damu hii hapa mguuni inakutoka utashangaa kuona majini yako yatakavyokuandama kutaka kukula wewe mfugaji na ukikaa vibaya yanakumaliza.
Kwa wasoma biblia watakuwa wanajua kisa cha Ibrahimu. Baada ya kuambiwa na Mungu kuwa tohara ni lazima na wakakubaliana Ibrahimu alishangaa karibia auwe na roho wa Mungu kwasababu ya govi lake ikabidi awahi kulitoa. Hivyo hivyo ilitokea kwa Haruni hadi atahiriwa na mkewe.
Hoja yangu ni nini? Kwa maslahi ya Taifa na kuilinda katiba hawa ni mapacha wanaolindwa na Majini/Spirits hutajua nani anayalinda ila ukizingua haitajalisha wewe ni nani? Ni mfuga majini au sio mfugaji.
Tulinde maslahi ya Taifa na Katiba bila kuona haya.