Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
Kwako rafiki mpendwa.
Haijalishi umepitia na bado unapitia
mangapi. Mungu ameahidi kukupa
njia ya kutokea, kukupigania nawe
uwe mshindi.
Usiyaangalie unayoyapitia, bali
mwangalie yeye aliyeahidi kukuvusha.
Isaya 43:18-19 inasema "Msiyakumbuke
mambo ya kwanza,
wala msiyatafakari mambo ya zamani.
Tazama, nitatenda neno jipya; sasa
litachipuka; je! Hamtalijua sasa?
Nitafanya njia hata jangwani, na mito ya maji nyikani."
Ubarikiwe na Bwana Yesu
unapoendelea kumngoja, maana hakika ataonekana kwako..
Haijalishi umepitia na bado unapitia
mangapi. Mungu ameahidi kukupa
njia ya kutokea, kukupigania nawe
uwe mshindi.
Usiyaangalie unayoyapitia, bali
mwangalie yeye aliyeahidi kukuvusha.
Isaya 43:18-19 inasema "Msiyakumbuke
mambo ya kwanza,
wala msiyatafakari mambo ya zamani.
Tazama, nitatenda neno jipya; sasa
litachipuka; je! Hamtalijua sasa?
Nitafanya njia hata jangwani, na mito ya maji nyikani."
Ubarikiwe na Bwana Yesu
unapoendelea kumngoja, maana hakika ataonekana kwako..