Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
Amen Nicas Mtei...plz njoo PM nahitaji ushauri!
Naam my friend noahism...jibu PM basi!
Mungu Mwenyezi yupo pamoja nasi! Naamini katika hilo haya ni mapito haina budi kukabizi maisha yetu mikononi mwa Bwana kwa ukombozi wa nafsi zetu, na hata fikra pia. John Elias tumaini letu na kimbilio letu ni Mungu Mwenyezi
Amina,nina mpango wa kuokoka kabisa mie...nimechoka na haya maisha ninayo ishi!
Umenigusa. Asante kwa neno takatifu, na Mungu Mwenyezi Akuzidishie Hekima.
Amen Nicas Mtei...plz njoo PM nahitaji ushauri!
Ahsante sana...
Ahsante kwa neno Nicas Mtei. Nimebarikiwa sana.
Amina,nina mpango wa kuokoka kabisa mie...nimechoka na haya maisha ninayo ishi!
Jesus is Able
That is true and fact.
Unakajua haka kapambio?
"Mungu ni muwezaa, Mungu ni muweza, Mungu ni muweza, aweza yooteee!