Amina,nina mpango wa kuokoka kabisa mie...nimechoka na haya maisha ninayo ishi!
Hii ni moja ya thread iliyokuja kwa wakati muafaka...
Nina amini kuwa imekupa faraja
Mchungaji, Baba Paroko Askofu Evangelist Nicas Mtei ahsante sana kwa neno la leo.
Wapi kapu la sadaka mkuu?
Namskiza Don Moen hapa. Naburudika
Mchungaji, Baba Paroko Askofu Evangelist Nicas Mtei ahsante sana kwa neno la leo.
Wapi kapu la sadaka mkuu?
Haya mawaisdom siku zote ulikua umeyachimbia wapi?
Note ; ukimuona "mgumu" kaanza kumwaga verses jua karibu anataka tangaza nia ya kuchumbia sehemu.
Daah, tupia na humu basi lol! Unakuwa mchoyo na hizo baraka.......
Nimeshndwa kuweka audio. Natumia kamchna.
Uwe na amani Nicas.
Na iwe hivyo kwa msaada wa mungu
oukei. Next tyme usiandke mungu. Andika Mungu.
oukei. Next tyme usiandke mungu. Andika Mungu.
Amen. Waweza pia kuztazama kupitia you tube. Nina audio zake zote.. Ningekuwa na kauwezo ningeku2mia
Naam mpwa, NENO huwa linasimama mambo mengine yote huwa yanapita...