Neno la Faraja kwako rafiki mpendwa. Usikate tamaa

Aisee Nicas Mtei asante kwa ujumbe mzuri! Ubarikiwe!

 
Last edited by a moderator:
Why shouldn't you love cc if you can get good inspiration like this one?
 
YAANI Nicas Mtei Umenigusa sana tena sana hasa katika kipindi hiki ndo kwanza sasa nafungua ukurasa huu nakutana na hii kitu sikutegemea kama ni wewe waweza kututia moyo kiasi hicho umeona lile neno nililokwambia ulipokuwa hapo mwanza aiseee shukrani naendelea kumngoja Bwana kwani ndiye njia na kweli na uzima vilevile kwake hakuna linaloshindikana yote yanawezekana tukiwa na imani na tarajio kwake Yeremia 33:27 au tukiwa washindi tutavuka ng'ambo ya mto wa pili huku tukiwa washindi Warumi 8:30:32. Asante sana kwa neno jema kwangu katika kipindi hicho cha majonzi kwangu
 
Last edited by a moderator:
Inapendeza mara mojamoja watu wakiandika nyuzi kama hizi
 
Mkwe uliyaandika haya kabla hujanifahamu
ingekuwa leo lazima ningejiuliza who told him
these things which belongs more to me
but all in all Mungu akubariki sana
tena nahitaji maombi yako hasa wakati huu.

 
Mkwe uliyaandika haya kabla hujanifahamu
ingekuwa leo lazima ningejiuliza who told him
these things which belongs more to me
but all in all Mungu akubariki sana
tena nahitaji maombi yako hasa wakati huu.

Tupo pamoja Mkwe. Mungu ni mwema sana wakati wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…