Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,052
- 2,995
Kuhusu Samia kuja kuwa president kwa awamu nyingine sikupingi na Sina ubaya nae Mama wa watu japo upole wake unaweza kumgalimu kwa kiasi flanina ndio maana Rais sahihi ni moja, na 2025 tunakwenda nae tena ngwe ya pili bila mbambamba yoyote 🐒
na huyo mzushi na muongo ambae mnamuona ndie sahihi tumemshauri ajiunge na nyinyi, sio kwa ubaya lakini, ili apotoshe wengine wa huko na kuzalisha wazushi na waongo wengi zaidi,au sio gentleman? si mumpatie nafasi ndugu yenu muongo 🤣
Lakini kuhusu yule mtu aliye fichua uchafu usiongee kitu kawaumbua sana
Na mkimtenga huenda mtakuwa mmeonyesha taswila yenu tusiyo ijua tangu zamani kwamba yeye alikuwa kondoo Kati Kati ya mbwa mwitu walio vaa ngozi za kondoo
Hampaswi kumpoyeza mtu Kama yule Kama kweli mtakuwa si mawakala wa mabebelu
Nategemea busara za mwenyekiti katika hili