Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni logical fallacy, argument from tradition.neno la mwisho kwa muungwana..
azingatie misingi, mila, desturi na utamaduni wa taasisi anakokwenda, vinginevyo atabanduliwa kila mahali anapokwenda akiendeleza kiburi, majivuno, ujuaji mwingi kumbe mbele kiza na jeuri yake ya mkizi 🐒
Kwamba ufahamu wangu na wako tuuwekee mizani? Mkuu acha basi...hata siasa tu ambayo nadhani ndio unayojua kuliko vyote bado ni empty set tu.uthibitisho wa serikali sio wa kificho, upo katika tovuti za kila wizara za kisekta 🐒
wewe unaechalenge taarifa za serikali, ndio unapaswa kuthibitisha hizo zako umezitoa wap ndicho kinachoendelea kuchambuliwa sasa 🐒
nadhani uelewa na ufahamu wa mambo haya pia inaweza kua ni changamoto 🐒
nadhani tatizo liko kwako mwenyewe kunisoma na kunielewa neno langu muhimu sana kwa muungwana, labda urudie tena gentleman 🐒Hii ni logical fallacy, argument from tradition.
Katika Hegelian dialectic kuna thesis, antithesis na synthesis.
CCM hao hao wanajinadi kuwa Chama Cha Mapinduzi kwa kuelewa kanuni hizi.
Kama chama kilivyo na mifumo yake, na watu nao wana haki za kikatiba za kupewa taarifa.
Kwa hivyo, chama kikiharibu, na ujinga ukitamalaki mpaka juu, mbunge ana haki zote za ku appeal to the public.
Na hata akiondolewa ubunge kwa kuondolewa uanachama, ana nafasi ya kuingia upinzani.
Mbona kina Mrema na Shibuda waliondoka CCM na kuingia upinzani?
Au hata asipokuwa mbunge, anaweza kubaki na heshima yake kama mtu ambaye alikataa ukondoo wa kijinga.
Tatizo lako liko wapi?
Mtu kukosa ubunge? Kwani alizaliwa na ubunge huyo?
Unasema umesoma "Profiles in Courage"? Umekielewa? Umejifunza nini kutoka hicho kitabu?
unanifurahisha sana mkurugenzi 🤣Kwamba ufahamu wangu na wako tuuwekee mizani? Mkuu acha basi...hata siasa tu ambayo nadhani ndio unayojua kuliko vyote bado ni empty set tu.
mpini nilioshikilia mimi ni ukweli na uwazi na si vinginevyo gentleman 🐒We jamaa uzalendo wako kwa nchi hii una walakini!
Watu kama nyie hamlifai kabisa Taifa hili lakini kwa bahati mbaya sana nyie ndo mlioshikilia mpini!
hiyo ni kitu mzuri sana, stay with him,....Mpina pamoja na madhaifu yake kama binadamu!, katikq hili nasimama nae, Haitaki akili kubwa kuona kwamba Ndugu Bashe Kachukua mlungula na analindwa.
Jamani huyu kwa picha wamsamehe, labda aliumwa njaa. 🥹Kwa ushahidi wake alio utoa kila mwananchi kauona , ikithibitika ushahidi una ukweli , hao wahalifu wachukuliwe hatua kali mno iwe funzo kwa yeyote yule.View attachment 3022164
Ndio hivyo ,tunaangaika na dagaa huku ma Big shark 🦈 yakila maisha bila ata ukofi.Jamani huyu kwa picha wamsamehe, labda aliumwa njaa. 🥹
dah maparachichi yenyewe yalikua mengi mno alokamatwa nayo, halafu hata hilo moja tu, hata nusu tu kumaliza ilikua ni issue, lakini masela wakamkomalia, si umeiba, haya tafuna sasa umalize hamu yako yote la sivyo tunakuchoma moto 🤣Jamani huyu kwa picha wamsamehe, labda aliumwa njaa. 🥹
Mpaka ayamalize yote hayo? Halafu mabichi!Jamani huyu kwa picha wamsamehe, labda aliumwa njaa. 🥹
Hoja yako ya msingi ya kuzingatia misingi, mila, utamaduni na desturi za taasisi ni logical fallacy, argument from tradition.nadhani tatizo liko kwako mwenyewe kunisoma na kunielewa neno langu muhimu sana kwa muungwana, labda urudie tena gentleman 🐒
nimeeleza kwa kirefu kinagaubaga na kushauri mpka akienda huko aendako mathalani kwenye taasisi Fulani aishi namna gani ...
na nimeeleza pia kwamba hiyo inaweza kua fursa nzur zaidi kwake kufanya vizuri zaidi harakati alizoanzisha, gentleman....
si rahisi kwa mtu asie kua na uelewa na ufahamu wa kutosha kujibu kwa kirefu sana replies zaidi ya mia3 kwenye mada zaidi ya4 tofauti, halafu asiwe amesoma na kuelewa sio tu, vitabu vichache ambavyo huenda umesoma na kuvifurahia, wengine ndio maisha na majibu yetu kwa maswali mbalimbali tunayo kutana nayo kwenye platforms mbalimbali 🐒
nadhani wew bado uko kwenye ile level ya literature zaidi kule form6, ya kuulizana eeh sijui wewe umeelewa nini kutokana na kitabu hiki au kuna ujumbe gani kwenye kitabu hicho n.k 🐒
Mkuu hapa ndio umepotea kabisa, ni ukweli ishu ya samaki ilileta maneno, ingawaje yeye alisimamia Kanuni za uvuvi zilizokuwa zinaainisha ukubwa wa samaki wanaopaswa kuvuliwa. Tukirudi kwenye hoja, hebu eleza kwa ufasaha ni wapi haswa anadanganya.sasa si ungeandika werevu mwingi sana gentleman , mbona unaleta dharau za kijinsia tu 🤣
ndiyo,
inafahamika hakuanza kupotosha na kusema uongo na uzushi kwenye sukari tu , bali pia pale alipotaka kutupiga kwenye data kwa kutumia rula kupima size ya ukubwa wa samaki waliorostiwa na nazi kabisa 🤣
Case yao ni tofauti.Covid-19.
Hii kitu ni TZ tu, ni ya wachachee !!
kwahiyo sheria ilimuelekeza waziri muungwana mzalendo kwamba, akampime samaki fresh, mzima alie hai na alie vuliwa baharini au ziwani,Mkuu hapa ndio umepotea kabisa, ni ukweli ishu ya samaki ilileta maneno, ingawaje yeye alisimamia Kanuni za uvuvi zilizokuwa zinaainisha ukubwa wa samaki wanaopaswa kuvuliwa. Tukirudi kwenye hoja, hebu eleza kwa ufasaha ni wapi haswa anadanganya.
unanieleza ama unanishauri mimi ninachokijua tayari gentleman? 🤣Hoja yako ya msingi ya kuzingatia misingi, mila, utamaduni na desturi za taasisi ni logical fallacy, argument from tradition.
Unaelewa hilo?