Pre GE2025 Neno langu la mwisho kwa Mbunge mkalia kuti kavu CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa lugha ya kisasa kisiasa, unaweza kusema yupo ukingoni jikoni, kikaangoni anakaangwa...

Neno langu la muhimu sana kwake ni kwamba, haipo taasisi popote duniani, isiyo na utaratibu wa kufanya mambo yake, iwe ya kisiasa, kijamii au kiuchumi.

Haiwezekani utaratibu wa taasisi unaelekeza mambo yafanyike hivi ila wewe unafanya kinyume chake kwa makusudi.

Kwa mfano taasisi x utaratibu wa maisha ya wanachama wake Lazima kuanza kuvaa viatu mguu wa kulia, lakini wewe unaanza kuvaa mguu wa kushoto kwa kujua kabisa ni makosa, lakini kwa jeuri na kiburi cha skio la kufa wewe hujali na unakiuka utaratibu.

Nenda unako enda, kiuka utaratibu, mila desturi na utamaduni wa taasisi hiyo, you will not survive completely...

Kizuri ni kwamba unaweza kua huru na mwenye haki, ukuamua kujiondoa kwa hiari yako na kujiunga na taasisi nyingine ikiwa unahisi hupendezwi na mambo ya kuanza kuvaa viatu mguu wa kulia, hali ya kua wewe unapendelea kuanzia mguu wa kushoto. Toka kwa amani, na uende kwa uhuru tafadhali..

Ni lazima na muhimu sana uendako kuzingatia kanuni, taratibu, miongozo na sheria za taasisi husika, kwa kufanya kazi kama timu moja bila kuathiri misingi ya taasisi yenyewe, mila, desturi na utamaduni wa mtindo wa maisha ya taasisi hiyo.

Vinginevyo huwezi kudumu popote utakako kwendra, kwa kuishi kwa tabia na majivuno yako yenye ujuaji mwingi hali ya kua mbele kiza...

Mwanzo wa mwisho wako CCM uliuanza mwenyewe kwa hasira na chuki za kutemwa barazani, na una uhitimisha mwenyewe kwa kishindo, cha kusingizia watu vitu visivyo na uhakika wowote.

Kwa kukubali kurubuniwa kwa kulamba asali na kuufanya uongo kua kweli, kwa tamaa ya fedha na mali, za wahujumu uchumi, waliokusudia kuhatarisha amani na utulivu wa Taifa, uzalendo wako ni wa mashaka sana.

Na katika muda usio kua mrefu utaondoka ccm, utaondoshwa au utabanduliwa rasmi CCM bila wasi wasi wowote.

Na walio nyuma ya jeuri na kiburi yako hiyo unayoonyesha kwa chama na serikali sikivu ya CCM, watabainishwa bayana na kuanza kutajana rasmi kwa majina yao, moja baada ya mwingine.

Kiufupi huna tena maisha wala uhai wa uanachama CCM. na hata ukiachwa huta kua na furaha wala amani ndani ya chama kwa heshma na ustaarabu ondoka CCM.

Utakapojikuta umeshiwa nguvu na ushawishi kisiasa, ujue sasa ni rasmi uko nje ya CCM, na hizo ndizo miongoni mwa athari utakazo kutana nazo ukiwa upinzani.

Lakini pia, nguvu ya utamu wa sukari ya makampuni ya sukari uliyolambishwa itakapokua imeisha ladha mdomoni kwako, vile vile utaanza kubaini kwamba uzushi unaweza kukusababishia uchungu wewe mwenyewe na kuathiri maisha ya kisiasa 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Josephat gwajima. Mbunge wangu wa kawe naisubiri safar ya kwenda USA vipi mbona mpaka leo bado
 
Umeandika ujinga mwingi sana, ungekuja na ufafanuzi ni hasa alipotosha kuliko kuja na vijembe kama wanawake wa Kiswahili. Huyu hakuanzia kwenye sukari ila amekuwa na hoja mbalimbali nyingine. Tena ukimwangalia kwa umakini ni kama na yeye anajua anachofanya. Hata akiachwa akivuka ng'ambo bado atarejea mjengoni.
 
Kwani 'fweza' za Don wa Sugar Cartel SI Kesha chukua?
 
muungwana si ndio analamba za wenye sugar companies kabisa ndio maana anakomaa na walichompotosha nacho 🐒
 
Umeandika ujinga mwingi sana, ungekuja na ufafanuzi ni hasa alipotosha kuliko kuja na vijembe kama wanawake wa Kiswahili. Huyu hakuanzia kwenye sukari ila amekuwa na hoja mbalimbali nyingine. Tena ukimwangalia kwa umakini ni kama na yeye anajua anachofanya. Hata akiachwa akivuka ng'ambo bado atarejea mjengoni.
sasa si ungeandika werevu mwingi sana gentleman , mbona unaleta dharau za kijinsia tu 🤣

ndiyo,
inafahamika hakuanza kupotosha na kusema uongo na uzushi kwenye sukari tu , bali pia pale alipotaka kutupiga kwenye data kwa kutumia rula kupima size ya ukubwa wa samaki waliorostiwa na nazi kabisa 🤣
 
Na tunaotakiwa kubaini ni sisi wananchi na sio watuhumiwa au rafiki zake watuhumiwa , ngoja kwanza tupitie ushaidi tulinganishe na hali halisi majibu yatapatikana tu.
sawa,
lakini ushauri na neno langu la msingi lizingatiwe🐒
 
Ccm akikuambia toka nnje kumekucha usimwamini kamwe apo timu vibaraka ni hao wa kaskazini, hao wa kanda ya kati ndio wazalendo wa kweli , asante sana kwa kunifumbua macho mkuu🙏🙏🙏
muhimu mpambane kwa hoja na sio mvurugane tafadhali sana, nyinyi ni ndugu, ni mawazo tu ndio tofauti 🐒
 
Hoja yako ya msingi ni nini?
neno la mwisho kwa muungwana..

azingatie misingi, mila, desturi na utamaduni wa taasisi anakokwenda, vinginevyo atabanduliwa kila mahali anapokwenda akiendeleza kiburi, majivuno, ujuaji mwingi kumbe mbele kiza na jeuri yake ya mkizi 🐒
 
Umenikumbusha ya steven masele mbunge..na job ndugai
kwamba alikua ana mkoromea ndugai, ili ampe hadhi na nyumba ya hadhi ya naibu spika wa bunge la vijana la Africa sio, nafasi alokua akiishikilia wakati huo, right?🐒
 
Hujaelewa mkuu,
Thibitisha uongo wake. Hoja hujibiwa kwa hoja.
uthibitisho wa serikali sio wa kificho, upo katika tovuti za kila wizara za kisekta 🐒

wewe unaechalenge taarifa za serikali, ndio unapaswa kuthibitisha hizo zako umezitoa wap ndicho kinachoendelea kuchambuliwa sasa 🐒

nadhani uelewa na ufahamu wa mambo haya pia inaweza kua ni changamoto 🐒
 
Kwa lugha ya kisasa kisiasa, unaweza kusema yupo ukingoni jikoni, kikaangoni anakaangwa...

Neno langu la muhimu sana kwake ni kwamba, haipo taasisi popote duniani, isiyo na utaratibu wa kufanya mambo yake, iwe ya kisiasa, kijamii au kiuchumi.

Haiwezekani utaratibu wa taasisi unaelekeza mambo yafanyike hivi ila wewe unafanya kinyume chake kwa makusudi.

Kwa mfano taasisi x utaratibu wa maisha ya wanachama wake Lazima kuanza kuvaa viatu mguu wa kulia, lakini wewe unaanza kuvaa mguu wa kushoto kwa kujua kabisa ni makosa, lakini kwa jeuri na kiburi cha skio la kufa wewe hujali na unakiuka utaratibu.

Nenda unako enda, kiuka utaratibu, mila desturi na utamaduni wa taasisi hiyo, you will not survive completely...

Kizuri ni kwamba unaweza kua huru na mwenye haki, ukuamua kujiondoa kwa hiari yako na kujiunga na taasisi nyingine ikiwa unahisi hupendezwi na mambo ya kuanza kuvaa viatu mguu wa kulia, hali ya kua wewe unapendelea kuanzia mguu wa kushoto. Toka kwa amani, na uende kwa uhuru tafadhali..

Ni lazima na muhimu sana uendako kuzingatia kanuni, taratibu, miongozo na sheria za taasisi husika, kwa kufanya kazi kama timu moja bila kuathiri misingi ya taasisi yenyewe, mila, desturi na utamaduni wa mtindo wa maisha ya taasisi hiyo.

Vinginevyo huwezi kudumu popote utakako kwendra, kwa kuishi kwa tabia na majivuno yako yenye ujuaji mwingi hali ya kua mbele kiza...

Mwanzo wa mwisho wako CCM uliuanza mwenyewe kwa hasira na chuki za kutemwa barazani, na una uhitimisha mwenyewe kwa kishindo, cha kusingizia watu vitu visivyo na uhakika wowote.

Kwa kukubali kurubuniwa kwa kulamba asali na kuufanya uongo kua kweli, kwa tamaa ya fedha na mali, za wahujumu uchumi, waliokusudia kuhatarisha amani na utulivu wa Taifa, uzalendo wako ni wa mashaka sana.

Na katika muda usio kua mrefu utaondoka ccm, utaondoshwa au utabanduliwa rasmi CCM bila wasi wasi wowote.

Na walio nyuma ya jeuri na kiburi yako hiyo unayoonyesha kwa chama na serikali sikivu ya CCM, watabainishwa bayana na kuanza kutajana rasmi kwa majina yao, moja baada ya mwingine.

Kiufupi huna tena maisha wala uhai wa uanachama CCM. na hata ukiachwa huta kua na furaha wala amani ndani ya chama kwa heshma na ustaarabu ondoka CCM.

Utakapojikuta umeshiwa nguvu na ushawishi kisiasa, ujue sasa ni rasmi uko nje ya CCM, na hizo ndizo miongoni mwa athari utakazo kutana nazo ukiwa upinzani.

Lakini pia, nguvu ya utamu wa sukari ya makampuni ya sukari uliyolambishwa itakapokua imeisha ladha mdomoni kwako, vile vile utaanza kubaini kwamba uzushi unaweza kukusababishia uchungu wewe mwenyewe na kuathiri maisha ya kisiasa 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Miaka 20 bungeni utakatishia kitu gani? In short kanawazidi akili wabunge wote wa ccm
 
Watu na chama chao Cha ufisadi alafu we mwenzao unatangaza ufisadi wao hadharani
Madhani
Ulimaanisha hivyo
 
Wewe upo upande wa adui then unatoa ushauri wa jinsi gan mpinzani akudondoshe😁😁😁 kweli mnatuona mazuzu mno .
nadhani tatizo au changamoto yangu kwa wengi ni utaalamu wangu ktka mambo mbalimbali hususani siasa, maisha, uhusiano, uchumba, ndoa na malezi ...

yawezekana nikiandika jambo kwamba na msema, namkandamiza mtu au navutia upande wangu.

la hashaaa,
mara nyingi mimi hufundisha na kuelekeza mambo ya msingi zaidi kwa manufaa ya wasomaji wangu zaidi ya manufaa yangu mwenyewe 🐒
 
Dah! Chama cha wauwaji kazini. Yoyote msema kweli lazima auwawe kisa tu kulinda utaratibu wa uuwaji
 
Back
Top Bottom