Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Hoja hupingwa kwa hoja na si vitoja na vitisho.
Tunaenda wapi Tz, ni taifa kwanza au chama kwanza??
Tunaenda wapi Tz, ni taifa kwanza au chama kwanza??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mambo ya principle ambayo ni ya muhimu kuliko ubunge.msingi wa uwajibikaji wake ni chama chake cha siasa kilichomdhamini kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi 🐒
once amebanduliwa kwenye chama chake, anapoteza nafasi ya ubunge na wananchi wanapaswa kumchagua muwakilishi wao mwingine 🐒
ni ubunifu wa kiwango cha juu sana cha uzushi na uongo tangu baada ya kutemwa baraza la mawaziri alipojaribu kutupiga fix alipotumia rula kupima size ya ukubwa wa samaki waliorostiwa vizuri sana kwa nazi 🤣Kosa lake ni kukuzidi akili ya kuelewa mambo na kudadavua. Ngoja tuone kama utamshinda
....Mpina pamoja na madhaifu yake kama binadamu!, katikq hili nasimama nae, Haitaki akili kubwa kuona kwamba Ndugu Bashe Kachukua mlungula na analindwa.kwa uzushi na uongo ule wa mbuni tuhuma mwenye kiburi, wivu na hasira za kutemwa baraza la mawaziri, sidhani kama atasavive up to the middle of next week 🐒
Kwa katiba ipi mtu hana chama halafu ni mbunge?Mpina simama na unachokiamini - hutakuwa wa kwanza kutimuliwa CCM ama upokwa Ubunge si mwisho wa maisha.
Mboma kuna watu hawana vyama ila ni Wabunge, TZ hakuna linaloshindikana.
Akili yako ina shoti na kuna waya zimekatika, unajizima data makusudi tuu au ni uchawa unakusumbua.kwa uzushi na uongo ule wa mbuni tuhuma mwenye kiburi, wivu na hasira za kutemwa baraza la mawaziri, sidhani kama atasavive up to the middle of next week 🐒
nani anataka mbunge akae kimya gentleman?🐒Kuna mambo ya principle ambayo ni ya muhimu kuliko ubunge.
Sasa kama chama kinaua watu, mbunge hapendi hilo, unataka mbunge akae kimya tu kwa sababu chama chake ndiyo kinachoua watu?
Umewahi kusoma kitabu cha John F. Kennedy kilichoshinda nishani ya Pulitzer kinachoitwa "Profiles in Courage" ?
Mbona wewe hatujawahi kukuona unaleta uzushi au uongo. Kwani hujui kwamba siasa ni uongo. Siasa ni mchezo wa karata. Tatizo watu wengi mnaingia kwenye siasa kwa kufosi. Siasa ni mchezo mwenzako akicheza hivi kwa maneno unatakiwa kupangua kwa maneno. Siasa ni mdomo sio nguvu. Data data ndio siasa. Siasa ni kugeuza uongo kuwa ukweli. Una defend point ya uongo kuwa ya kweli na sio kulialia.ni ubunifu wa kiwango cha juu sana cha uzushi na uongo tangu baada ya kutemwa baraza la mawaziri alipojaribu kutupiga fix alipotumia rula kupima size ya ukubwa wa samaki waliorostiwa vizuri sana kwa nazi 🤣
zile data sijui ziko wap kwanza mpaka sasa dah 🐒
We jamaa uzalendo wako kwa nchi hii una walakini!Kwa lugha ya kisasa kisiasa, unaweza kusema yupo ukingoni jikoni, kikaangoni anakaangwa...
Neno langu la muhimu sana kwake ni kwamba, haipo taasisi popote duniani, isiyo na utaratibu wa kufanya mambo yake, iwe ya kisiasa, kijamii au kiuchumi.
Haiwezekani utaratibu wa taasisi unaelekeza mambo yafanyike hivi ila wewe unafanya kinyume chake kwa makusudi.
Kwa mfano taasisi x utaratibu wa maisha ya wanachama wake Lazima kuanza kuvaa viatu mguu wa kulia, lakini wewe unaanza kuvaa mguu wa kushoto kwa kujua kabisa ni makosa, lakini kwa jeuri na kiburi cha skio la kufa wewe hujali na unakiuka utaratibu.
Nenda unako enda, kiuka utaratibu, mila desturi na utamaduni wa taasisi hiyo, you will not survive completely...
Kizuri ni kwamba unaweza kua huru na mwenye haki, ukuamua kujiondoa kwa hiari yako na kujiunga na taasisi nyingine ikiwa unahisi hupendezwi na mambo ya kuanza kuvaa viatu mguu wa kulia, hali ya kua wewe unapendelea kuanzia mguu wa kushoto. Toka kwa amani, na uende kwa uhuru tafadhali..
Ni lazima na muhimu sana uendako kuzingatia kanuni, taratibu, miongozo na sheria za taasisi husika, kwa kufanya kazi kama timu moja bila kuathiri misingi ya taasisi yenyewe, mila, desturi na utamaduni wa mtindo wa maisha ya taasisi hiyo.
Vinginevyo huwezi kudumu popote utakako kwendra, kwa kuishi kwa tabia na majivuno yako yenye ujuaji mwingi hali ya kua mbele kiza...
Mwanzo wa mwisho wako CCM uliuanza mwenyewe kwa hasira na chuki za kutemwa barazani, na una uhitimisha mwenyewe kwa kishindo, cha kusingizia watu vitu visivyo na uhakika wowote.
Kwa kukubali kurubuniwa kwa kulamba asali na kuufanya uongo kua kweli, kwa tamaa ya fedha na mali, za wahujumu uchumi, waliokusudia kuhatarisha amani na utulivu wa Taifa, uzalendo wako ni wa mashaka sana.
Na katika muda usio kua mrefu utaondoka ccm, utaondoshwa au utabanduliwa rasmi CCM bila wasi wasi wowote.
Na walio nyuma ya jeuri na kiburi yako hiyo unayoonyesha kwa chama na serikali sikivu ya CCM, watabainishwa bayana na kuanza kutajana rasmi kwa majina yao, moja baada ya mwingine.
Kiufupi huna tena maisha wala uhai wa uanachama CCM. na hata ukiachwa huta kua na furaha wala amani ndani ya chama kwa heshma na ustaarabu ondoka CCM.
Utakapojikuta umeshiwa nguvu na ushawishi kisiasa, ujue sasa ni rasmi uko nje ya CCM, na hizo ndizo miongoni mwa athari utakazo kutana nazo ukiwa upinzani.
Lakini pia, nguvu ya utamu wa sukari ya makampuni ya sukari uliyolambishwa itakapokua imeisha ladha mdomoni kwako, vile vile utaanza kubaini kwamba uzushi unaweza kukusababishia uchungu wewe mwenyewe na kuathiri maisha ya kisiasa 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Hakuna mtu humo..Hili sakata la Mpina na sukari limekufanya ufunue UPUMBAVU wako ambao umeuficha kwa muda mrefu.
Sikuwahi kufikiri kuwa wewe ni MPUMBAVU kiasi hiki.
politics is very interesting game, it is mind game but si uongo,Mbona wewe hatujawahi kukuona unaleta uzushi au uongo. Kwani hujui kwamba siasa ni uongo. Siasa ni mchezo wa karata. Tatizo watu wengi mnaingia kwenye siasa kwa kufosi. Siasa ni mchezo mwenzako akicheza hivi kwa maneno unatakiwa kupangua kwa maneno. Siasa ni mdomo sio nguvu. Data data ndio siasa. Siasa ni kugeuza uongo kuwa ukweli. Una defend point ya uongo kuwa ya kweli na sio kulialia.
Ikibainika pesa za nchi zinatafunwa kweli na kuna ubadhirifu mkubwa wa mali za uma kama alivyobainisha bwana mpina ,hao wahusika wafungwe maisha ,bwana mpina kwetu sisi wananchi ni shujaa no mata wati.kwamba ikibainika muungwana kasema uongo, alazimishwe kutafuna maparachichi mabichi, kama inavyoonekana kwenye picha, right?🐒
Wanainchi tukiamua tunauwezo wa kumuwajibisha yeyote.Nani wa kuwachukulia hatua? Wakati wao ndo wanahusika kuanzia jumba jeupe
ikibainika muungwana kasema uongo atabanduliwa chamani mara moja 🐒Ikibainika pesa za nchi zinatafunwa kweli na kuna ubadhirifu mkubwa wa mali za uma kama alivyobainisha bwana mpina ,hao wahusika wafungwe maisha ,bwana mpina kwetu sisi wananchi ni shujaa no mata wati.
Yeye anasema uongo, ukweli wako uko wapi? Panga hoja zake kwa kuleta hoja kinzani, ulichoandika hapa ni upuuzi na upumbavu kwa mtu mwenye uchungu na nchi yake.sasa mbona umepanic gentleman 🤣
mihemko na ghadhabu za nini sasa,
mbona na wewe unakua na chuki binafsi, mkali na mwenye hasira na wivu, kama huyo muungwana unajaribu kumtetea kwa jazba sana, alipotoswa baraza la mawaziri?🤣
kama anaona hiyo taasisi haifamfai si makampuni ya sukari yanayomfadhili yampatie kazi ya kudumu, kuliko wanavyomrubuni kwa sukari kidogo tu mdomoni ili akomae kusema uongo na uzushi kua kweli?🐒
mbona ni rahis tu..
hata hivyo, jitahidi kuzuia ghadhabu na mihemko isiyo na maana yoyote ambayo soon itakupelekea kupoteza uelekeo na kuanza kuporomosha matusi tu 🤣