Pre GE2025 Neno langu la mwisho kwa Mbunge mkalia kuti kavu CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbunge anawajibika kwa nafsi yake, kwa wapiga kura wake, kwa nchi yake na kwa chama chake.

Si kwa chama chake tu.
msingi wa uwajibikaji wake ni chama chake cha siasa kilichomdhamini kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi 🐒

once amebanduliwa kwenye chama chake, anapoteza nafasi ya ubunge na wananchi wanapaswa kumchagua muwakilishi wao mwingine 🐒
 
kwa lugha ya kisasa kisiasa, unaweza kusema yupo ukingoni jikoni, kikaangoni anakaangwa...

neno langu la muhimu sana kwake ni kwamba, haipo taasisi popote duniani, isiyo na utaratibu wa kufanya mambo yake, iwe ya kisiasa, kijamii au kiuchumi...
haiwezekani utaratibu wa taasisi unaelekeza mambo yafanyike hivi ila wewe unafanya kinyume chake kwa makusudi.

kwa mfano taasisi x utaratibu wa maisha ya wanachama wake Lazima kuanza kuvaa viatu mguu wa kulia, lakini wewe unaanza kuvaa mguu wa kushoto kwa kujua kabisa ni makosa, lakini kwa jeuri na kiburi cha skio la kufa wewe hujali na unakiuka utaratibu...

nenda unako enda, kiuka utaratibu, mila desturi na utamaduni wa taasisi hiyo, you will not survive completely...

kizuri ni kwamba unaweza kua huru na mwenye haki, ukuamua kujiondoa kwa hiari yako na kujiunga na taasisi nyingine ikiwa unahisi hupendezwi na mambo ya kuanza kuvaa viatu mguu wa kulia, hali ya kua wewe unapendelea kuanzia mguu wa kushoto..
toka kwa amani, na uende kwa uhuru tafadhali..

ni lazima na muhimu sana uendako kuzingatia kanuni, taratibu, miongozo na sheria za taasisi husika, kwa kufanya kazi kama timu moja bila kuathiri misingi ya taasisi yenyewe, mila, desturi na utamaduni wa mtindo wa maisha ya taasisi hiyo.

vinginevyo huwezi kudumu popote utakako kwendra, kwa kuishi kwa tabia na majivuno yako yenye ujuaji mwingi hali ya kua mbele kiza...

mwanzo wa mwisho wako CCM uliuanza mwenyewe kwa hasira na chuki za kutemwa barazani, na una uhitimisha mwenyewe kwa kishindo, cha kusingizia watu vitu visivyo na uhakika wowote,

kwa kukubali kurubuniwa kwa kulamba asali na kuufanya uongo kua kweli, kwa tamaa ya fedha na mali, za wahujumu uchumi, waliokusudia kuhatarisha amani na utulivu wa Taifa, uzalendo wako ni wa mashaka sana...

na katika muda usio kua mrefu utaondoka ccm, utaondoshwa au utabanduliwa rasmi CCM bila wasi wasi wowote....

na walio nyuma ya jeuri na kiburi yako hiyo unayoonyesha kwa chama na serikali sikivu ya CCM, watabainishwa bayana na kuanza kutajana rasmi kwa majina yao, moja baada ya mwingine...

kiufupi huna tena maisha wala uhai wa uanachama CCM. na hata ukiachwa huta kua na furaha wala amani ndani ya chama
kwa heshma na ustaarabu ondoka CCM.

utakapojikuta umeshiwa nguvu na ushawishi kisiasa, ujue sasa ni rasmi uko nje ya CCM, na hizo ndizo miongoni mwa athari utakazo kutana nazo ukiwa upinzani..

lakini pia,
nguvu ya utamu wa sukari ya makampuni ya sukari uliyolambishwa itakapokua imeisha ladha mdomoni kwako, vile vile utaanza kubaini kwamba uzushi unaweza kukusababishia uchungu wewe mwenyewe na kuathiri maisha ya kisiasa 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
mbona maneno meengi ila yoote hakuna mahali unaonesha kwa data kwamba alichokisema ni uongo!?
Kaa uelewe mambo haya mosi,duniani koote hakuna mahali mabaya yanafichuliwa kwa kufuata utaratibu,ujue hilo!Maovu yoote huibuliwa kwa kukiuka utaratibu we umesomea wap poti!?Edward Snowden amefichua war crimes kwa kuvujisha siri tena classified kabisa...Kaa tu ukijua mara nyingi wenye roho za hivyo huwa hawakuogopeni kama unavyodhan!
Pili utaratibu wa taasisi x hutumiwa pia kuzima hoja nyeti hii ni sawa na kusema Serikali ya makaburu ilikuwa na sheria na taratibu na kwamba kuzivunja ilistahili adhabu lakini hiyo haimaanishi zilikuwa za haki(za ubaguzi)!!!
So say what u wanna say but the boy stands firm today and tomorrow!💪
 
Mzalendo mpina hajakiuka taratibu yeyote isipokuwa hili bunge limejiwenea utaratibu mbovu katika kuwasilisha ushahidi wa mbunge.kwanza huo utaratibu hawajatushirikisha sisi wananchi ambao tuliwachagua.Na hata kama amekiuka utaratibu je tuhuma ni za uongo?jibu ni hapana isipokuwa wameona hili sakata linamgusa kizimkazi na kuanza kukomalia mambo ya kipuuzi kabisa.Hii Nchi inaongozwa na majambazi tupu.siku tukipata mzalendo au Mimi mwenyewe nikashika usukani.nitaanza na huyu tulia Kwa kupindisha utaratibu wa bunge
gentleman,
kwanza kabisa, mzalendo hana mihemko, ghadhabu, wala hapanic, hana mzaha au kuporomosha matusi anapokua yupo kwenye mission maalumu, hilo Lazima ulijue na ulifahamu mwanzoni tu 🐒

jambo la pili,
mzalendo sio mbuni uzushi au uongo dhidi ya wengine kwasabb tu ya kurubuniwa kwa kulambishwa sukari ya makampuni ya sukari, eti sasa ukomae kusema uongo kua ukweli 🤣
aise pesa saa zingine ni kitu mbaya sana 🐒

jambo la tatu na la mwisho,
taasisi imara mbalimbali duniani ikiwa ni pamoja na CCM na bunge zina taratibu, kanuni na sheria zao za kuendesha mambo yao...

nikuhakikishie,
muhusika atapata haki yake stahiki anayostahili katika taasisi nilizozitaja.
kubanduliwa uanachama CCM na kung"atuliwa ubunge pia ni haki ujue 🐒
 
msingi wa uwajibikaji wake ni chama chake cha siasa kilichomdhamini kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi 🐒

once amebanduliwa kwenye chama chake, anapoteza nafasi ya ubunge na wananchi wanapaswa kumchagua muwakilishi wao mwingine 🐒
Katika jambo ambalo chama chako hakiwezi kufanya KAMWE ni kumfukuza Mpina!Hyo haitakaa itokee milele!😂😂😂
Chawa mtaishia kulialia tu hapa jukwaani😅😅.Kama Lukuvi,Majalala na yule mwl wa chuo kikuu mlishindwa hata kuwasimamisha kazi zao mkaishia kuwabadilishia ulaji ije kuwa kwa Mpina😅😅😅😅
 
mbona maneno meengi ila yoote hakuna mahali unaonesha kwa data kwamba alichokisema ni uongo!?
Kaa uelewe mambo haya mosi,duniani koote hakuna mahali mabaya yanafichuliwa kwa kufuata utaratibu,ujue hilo!Maovu yoote huibuliwa kwa kukiuka utaratibu we umesomea wap poti!?Edward Snowden amefichua war crimes kwa kuvujisha siri tena classified kabisa...Kaa tu ukijua mara nyingi wenye roho za hivyo huwa hawakuogopeni kama unavyodhan!
Pili utaratibu wa taasisi x hutumiwa pia kuzima hoja nyeti hii ni sawa na kusema Serikali ya makaburu ilikuwa na sheria na taratibu na kwamba kuzivunja ilistahili adhabu lakini hiyo haimaanishi zilikuwa za haki(za ubaguzi)!!!
So say what u wanna say but the boy stands firm today and tomorrow!💪
wew we we unazungumzia data? kwa huyu muungwana mpika data za uongo na uzushi?🤣

unakumbuka kabla ya sakata hili aliwahi kumvimbia waziri wa fedha kwa data feki ambazo hata haziko kwenye tovuti za Serikali.

unakumbuka,
alipoulizwa na spika hizo data amezitoa wapi, muungwana alijibuje na akakalishwa chini 🤣

so,
muungwana kwa kujipikilisha data za uongo na uzushi ni mzoefu sana, hata ile ya kutumia rula kupima size ya samaki walio rostiwa kwa nazi alitupiga data tukamsitiri tu 🤣

kiufupi jamaa anaweza sana uzushi, ndio maana akakubali hata hiyo kazi ngumu sana, kwa pesa kidogo tu aliyopewa na makampuni ya sukari kukomaa kusema uongo kua kweli tena bungeni kabisa 🤣

jamaa jeuri sana dah 🐒
 
Katika jambo ambalo chama chako hakiwezi kufanya KAMWE ni kumfukuza Mpina!Hyo haitakaa itokee milele!😂😂😂
Chawa mtaishia kulialia tu hapa jukwaani😅😅.Kama Lukuvi,Majalala na yule mwl wa chuo kikuu mlishindwa hata kuwasimamisha kazi zao mkaishia kuwabadilishia ulaji ije kuwa kwa Mpina😅😅😅😅
we we mtie moyo tu mkalia kuti kavu ajisahau 🤣

kubanduliwa uanachama na kule mjengoni hakuepukiki gentleman,

na,
by the way ni utaratibu wa kawaida tu kwenye serious, vibrant, visionary and very focused institutions 🐒
 
Kwa lugha ya kisasa kisiasa, unaweza kusema yupo ukingoni jikoni, kikaangoni anakaangwa...

Neno langu la muhimu sana kwake ni kwamba, haipo taasisi popote duniani, isiyo na utaratibu wa kufanya mambo yake, iwe ya kisiasa, kijamii au kiuchumi.

Haiwezekani utaratibu wa taasisi unaelekeza mambo yafanyike hivi ila wewe unafanya kinyume chake kwa makusudi.

Kwa mfano taasisi x utaratibu wa maisha ya wanachama wake Lazima kuanza kuvaa viatu mguu wa kulia, lakini wewe unaanza kuvaa mguu wa kushoto kwa kujua kabisa ni makosa, lakini kwa jeuri na kiburi cha skio la kufa wewe hujali na unakiuka utaratibu.

Nenda unako enda, kiuka utaratibu, mila desturi na utamaduni wa taasisi hiyo, you will not survive completely...

Kizuri ni kwamba unaweza kua huru na mwenye haki, ukuamua kujiondoa kwa hiari yako na kujiunga na taasisi nyingine ikiwa unahisi hupendezwi na mambo ya kuanza kuvaa viatu mguu wa kulia, hali ya kua wewe unapendelea kuanzia mguu wa kushoto. Toka kwa amani, na uende kwa uhuru tafadhali..

Ni lazima na muhimu sana uendako kuzingatia kanuni, taratibu, miongozo na sheria za taasisi husika, kwa kufanya kazi kama timu moja bila kuathiri misingi ya taasisi yenyewe, mila, desturi na utamaduni wa mtindo wa maisha ya taasisi hiyo.

Vinginevyo huwezi kudumu popote utakako kwendra, kwa kuishi kwa tabia na majivuno yako yenye ujuaji mwingi hali ya kua mbele kiza...

Mwanzo wa mwisho wako CCM uliuanza mwenyewe kwa hasira na chuki za kutemwa barazani, na una uhitimisha mwenyewe kwa kishindo, cha kusingizia watu vitu visivyo na uhakika wowote.

Kwa kukubali kurubuniwa kwa kulamba asali na kuufanya uongo kua kweli, kwa tamaa ya fedha na mali, za wahujumu uchumi, waliokusudia kuhatarisha amani na utulivu wa Taifa, uzalendo wako ni wa mashaka sana.

Na katika muda usio kua mrefu utaondoka ccm, utaondoshwa au utabanduliwa rasmi CCM bila wasi wasi wowote.

Na walio nyuma ya jeuri na kiburi yako hiyo unayoonyesha kwa chama na serikali sikivu ya CCM, watabainishwa bayana na kuanza kutajana rasmi kwa majina yao, moja baada ya mwingine.

Kiufupi huna tena maisha wala uhai wa uanachama CCM. na hata ukiachwa huta kua na furaha wala amani ndani ya chama kwa heshma na ustaarabu ondoka CCM.

Utakapojikuta umeshiwa nguvu na ushawishi kisiasa, ujue sasa ni rasmi uko nje ya CCM, na hizo ndizo miongoni mwa athari utakazo kutana nazo ukiwa upinzani.

Lakini pia, nguvu ya utamu wa sukari ya makampuni ya sukari uliyolambishwa itakapokua imeisha ladha mdomoni kwako, vile vile utaanza kubaini kwamba uzushi unaweza kukusababishia uchungu wewe mwenyewe na kuathiri maisha ya kisiasa [emoji205]

Mungu Ibariki Tanzania
Rubbish
 
Kwa lugha ya kisasa kisiasa, unaweza kusema yupo ukingoni jikoni, kikaangoni anakaangwa...

Neno langu la muhimu sana kwake ni kwamba, haipo taasisi popote duniani, isiyo na utaratibu wa kufanya mambo yake, iwe ya kisiasa, kijamii au kiuchumi.

Haiwezekani utaratibu wa taasisi unaelekeza mambo yafanyike hivi ila wewe unafanya kinyume chake kwa makusudi.

Kwa mfano taasisi x utaratibu wa maisha ya wanachama wake Lazima kuanza kuvaa viatu mguu wa kulia, lakini wewe unaanza kuvaa mguu wa kushoto kwa kujua kabisa ni makosa, lakini kwa jeuri na kiburi cha skio la kufa wewe hujali na unakiuka utaratibu.

Nenda unako enda, kiuka utaratibu, mila desturi na utamaduni wa taasisi hiyo, you will not survive completely...

Kizuri ni kwamba unaweza kua huru na mwenye haki, ukuamua kujiondoa kwa hiari yako na kujiunga na taasisi nyingine ikiwa unahisi hupendezwi na mambo ya kuanza kuvaa viatu mguu wa kulia, hali ya kua wewe unapendelea kuanzia mguu wa kushoto. Toka kwa amani, na uende kwa uhuru tafadhali..

Ni lazima na muhimu sana uendako kuzingatia kanuni, taratibu, miongozo na sheria za taasisi husika, kwa kufanya kazi kama timu moja bila kuathiri misingi ya taasisi yenyewe, mila, desturi na utamaduni wa mtindo wa maisha ya taasisi hiyo.

Vinginevyo huwezi kudumu popote utakako kwendra, kwa kuishi kwa tabia na majivuno yako yenye ujuaji mwingi hali ya kua mbele kiza...

Mwanzo wa mwisho wako CCM uliuanza mwenyewe kwa hasira na chuki za kutemwa barazani, na una uhitimisha mwenyewe kwa kishindo, cha kusingizia watu vitu visivyo na uhakika wowote.

Kwa kukubali kurubuniwa kwa kulamba asali na kuufanya uongo kua kweli, kwa tamaa ya fedha na mali, za wahujumu uchumi, waliokusudia kuhatarisha amani na utulivu wa Taifa, uzalendo wako ni wa mashaka sana.

Na katika muda usio kua mrefu utaondoka ccm, utaondoshwa au utabanduliwa rasmi CCM bila wasi wasi wowote.

Na walio nyuma ya jeuri na kiburi yako hiyo unayoonyesha kwa chama na serikali sikivu ya CCM, watabainishwa bayana na kuanza kutajana rasmi kwa majina yao, moja baada ya mwingine.

Kiufupi huna tena maisha wala uhai wa uanachama CCM. na hata ukiachwa huta kua na furaha wala amani ndani ya chama kwa heshma na ustaarabu ondoka CCM.

Utakapojikuta umeshiwa nguvu na ushawishi kisiasa, ujue sasa ni rasmi uko nje ya CCM, na hizo ndizo miongoni mwa athari utakazo kutana nazo ukiwa upinzani.

Lakini pia, nguvu ya utamu wa sukari ya makampuni ya sukari uliyolambishwa itakapokua imeisha ladha mdomoni kwako, vile vile utaanza kubaini kwamba uzushi unaweza kukusababishia uchungu wewe mwenyewe na kuathiri maisha ya kisiasa 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Bora shetani kuliko masisiemu !! Yaani shetani anaombaga ushauri CCM
 
Mpina simama na unachokiamini - hutakuwa wa kwanza kutimuliwa CCM ama upokwa Ubunge si mwisho wa maisha.

Mboma kuna watu hawana vyama ila ni Wabunge, TZ hakuna linaloshindikana.
Yes,
awe tu muungwana, taasisi na vyama vipo vingi aende huko akaendelee na jitihada zake itamsaidia sana 🐒
 
Bora shetani kuliko masisiemu !! Yaani shetani anaombaga ushauri CCM
pua zege umeongea jambo la maana sana tena kwa hisia sana bila hata chembe za mihemko 🤣

point yako itaishi muda marefu sana kwenye medani za siasa 🤣
 
Sijakuelewa mantiki yako hapa mwisho. Unataka kusema alikuwa anasimamia maslahi binafsi ? Au ulitaka alinde wezi kama ilivyo desturi yenu? muda utasema.....
hapana,
ni maslahi mapana ya familia yake nzima, kwa kuufanya na kusema uongo kua ukweli kwa niaba ya makampuni ya sukari yanayomfadhili afanye hivyo 🐒
 
Kwa ushahidi wake alio utoa kila mwananchi kauona , ikithibitika ushahidi una ukweli , hao wahalifu wachukuliwe hatua kali mno iwe funzo kwa yeyote yule.View attachment 3022164
kwamba ikibainika muungwana kasema uongo, alazimishwe kutafuna maparachichi mabichi, kama inavyoonekana kwenye picha, right?🐒
 
Kwahiyo sio kweli kuwa Stationery na Duka la simu zilipewa vibali vya sukari ?
kuna ubaya gani ikiwa, hizo ni kazi nyingine za ziada za makampuni hayo, na ikiwa yanakidhi vigezo na masharti ya kufanya jukumu la kuagiza mambo mengine iwe ni sukari, mbolea na mambo mengine kama hayo 🐒
 
Rushwa ya sukari ....Iddy Simba & Pro Mbilinyi....next?...Bashe.
kwa uzushi na uongo ule wa mbuni tuhuma mwenye kiburi, wivu na hasira za kutemwa baraza la mawaziri, sidhani kama atasavive up to the middle of next week 🐒
 
Kwa lugha ya kisasa kisiasa, unaweza kusema yupo ukingoni jikoni, kikaangoni anakaangwa...

Neno langu la muhimu sana kwake ni kwamba, haipo taasisi popote duniani, isiyo na utaratibu wa kufanya mambo yake, iwe ya kisiasa, kijamii au kiuchumi.

Haiwezekani utaratibu wa taasisi unaelekeza mambo yafanyike hivi ila wewe unafanya kinyume chake kwa makusudi.

Kwa mfano taasisi x utaratibu wa maisha ya wanachama wake Lazima kuanza kuvaa viatu mguu wa kulia, lakini wewe unaanza kuvaa mguu wa kushoto kwa kujua kabisa ni makosa, lakini kwa jeuri na kiburi cha skio la kufa wewe hujali na unakiuka utaratibu.

Nenda unako enda, kiuka utaratibu, mila desturi na utamaduni wa taasisi hiyo, you will not survive completely...

Kizuri ni kwamba unaweza kua huru na mwenye haki, ukuamua kujiondoa kwa hiari yako na kujiunga na taasisi nyingine ikiwa unahisi hupendezwi na mambo ya kuanza kuvaa viatu mguu wa kulia, hali ya kua wewe unapendelea kuanzia mguu wa kushoto. Toka kwa amani, na uende kwa uhuru tafadhali..

Ni lazima na muhimu sana uendako kuzingatia kanuni, taratibu, miongozo na sheria za taasisi husika, kwa kufanya kazi kama timu moja bila kuathiri misingi ya taasisi yenyewe, mila, desturi na utamaduni wa mtindo wa maisha ya taasisi hiyo.

Vinginevyo huwezi kudumu popote utakako kwendra, kwa kuishi kwa tabia na majivuno yako yenye ujuaji mwingi hali ya kua mbele kiza...

Mwanzo wa mwisho wako CCM uliuanza mwenyewe kwa hasira na chuki za kutemwa barazani, na una uhitimisha mwenyewe kwa kishindo, cha kusingizia watu vitu visivyo na uhakika wowote.

Kwa kukubali kurubuniwa kwa kulamba asali na kuufanya uongo kua kweli, kwa tamaa ya fedha na mali, za wahujumu uchumi, waliokusudia kuhatarisha amani na utulivu wa Taifa, uzalendo wako ni wa mashaka sana.

Na katika muda usio kua mrefu utaondoka ccm, utaondoshwa au utabanduliwa rasmi CCM bila wasi wasi wowote.

Na walio nyuma ya jeuri na kiburi yako hiyo unayoonyesha kwa chama na serikali sikivu ya CCM, watabainishwa bayana na kuanza kutajana rasmi kwa majina yao, moja baada ya mwingine.

Kiufupi huna tena maisha wala uhai wa uanachama CCM. na hata ukiachwa huta kua na furaha wala amani ndani ya chama kwa heshma na ustaarabu ondoka CCM.

Utakapojikuta umeshiwa nguvu na ushawishi kisiasa, ujue sasa ni rasmi uko nje ya CCM, na hizo ndizo miongoni mwa athari utakazo kutana nazo ukiwa upinzani.

Lakini pia, nguvu ya utamu wa sukari ya makampuni ya sukari uliyolambishwa itakapokua imeisha ladha mdomoni kwako, vile vile utaanza kubaini kwamba uzushi unaweza kukusababishia uchungu wewe mwenyewe na kuathiri maisha ya kisiasa 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Kosa lake ni kukuzidi akili ya kuelewa wa mambo na kudadavua. Nendeni na ninyi mkasome shule. Binafsi mimi namkubali natamani hata anifundishe mbinu anazotumia kupata data. Ngoja tuone kama utamshinda. Badala ya kujifunza kwake jinsi ya kudefend alicho kiandika mnawaza kuoneana wivu.
 
Back
Top Bottom